Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umesema ulikua unamic mikuno ya DJ mafuvu !?? [emoji23] [emoji23] [emoji16]Dj Mafuvu the tantable master, Nimemsikia leo kuanzia alfajiri saa 11 akiamsha kwa ngoma kali, ila nilimsikiliza awali kama majuma kadhaa yaliyopita kwenye XXL, Nikajiuliza ni shamra shamra tu za Fiesta au kuna lingine
Siku kadhaa mbeleni nikasoma Ukurasa wako wa IG ukilalamika kufanyiwa figisu na baadhi ya Djs wa Pale CMG kuwa wanakubania fursa ili usisajiliwe, nilitafakari saaana na ikanipa ugumu wakuamini na sikuamini kama wale Djs wangekufanyia figisu maana wengi wao walisajiliwa na bila kushikwa mkono wasingekuwa pale.
Ninachoamini unabase kubwa sana ya Mashabiki ikiwepo hata mimi na nilikuwa namis sana mikato, mikuno na playlist yako, Nimefurahishwa sana kukusikia leo nakuona kuwa ni Usajili rasmi
Nashindwa kuelewa media ile Isiyoboa Isiyopoa mlishindwana au tayari usajili ulikuwa umefungwa. Kwa sasa uko sehemu salama na Umeongeza Idadi kubwaaaa saana ya Mashabiki wako kukusikiliza. Gooo gooo Fuvu
Mafuvu Bae, Dj AD aka Mafuvu bae, The Tantablemaster
Mwaume wa DarMkuu umesema ulikua unamic mikuno ya DJ mafuvu !?? [emoji23] [emoji23] [emoji16]
hapo kwenye kuhype hawa Dj Summer, Ommy Crazy, Dommy wakasome kwanza ndio warudi hawamgusi hata kidogo wanajaribu jaribu tuule waraka alioupost IG ilikuwa ni tension tu ama kick kwaajili ya kiwajaza upepo watu " waweze kuifuatilia zaidi clouds na tamasha lao la Fiesta ... ila niukweli uliowazi zaidi kwamba MAFUVU hana mpinzani Tz .. jamaa anajua mpaka kero " napenda jinsi anavyo hype huku ana cheza ngoma matata
wale kinachowaponza huwa misimamo yao isiyoeleweka, walishindwana kwenye makubaliano flani ya upande wa kazi na wala sio maslah Fuvu akaona isiwe shida kaeni na mnachokiamini acheni nibaki na ninachokiamini ntaenda kukifanya kwingine ndio akasepaNajiuliza mpaka kesho, kwa nini East Africa walimucha huyu jamaa
hahahahah hapo uko sahihi kabisa aisee, Yaani Pale Kikosini kama hana namba jamaa na wala huwa sielewi anafanya nini mara 100 angebaki Efm sasahv angekuwa na base kubwa sana ya mashabikiIla nasikitika sana cluods fm wameenda kuizima nyota ya kicheko mtata tangu atoke pale e.fm ameshuka
kwa sasa hapigi pale, ila ilikuwa noma, anajua sana jamaaKuna club ya moja pale sinza defrance hotel pale kuna club alikua anatumbuiza pale aiseeh ni noma huyu jamaa alikua akishikilia vyombo akaajza mbwembwe zake ni lazima nitamtunza sana kwa bia jamaa anajua hana mshindani
Ahhh mkuu ulishaendaga pale defrance hotel sinza?ni balaah jamaa alikua anakiwasha kinoma[emoji13] [emoji13] [emoji13]kwa sasa hapigi pale, ila ilikuwa noma, anajua sana jamaa
Yeaahh Jamaa ni mtu hatari sana kwenye tasnia ya u-djhapo kwenye kuhype hawa Dj Summer, Ommy Crazy, Dommy wakasome kwanza ndio warudi hawamgusi hata kidogo wanajaribu jaribu tu
HyperKelele zipi hizo..?
ni Mshahara Tu Hakuna KingineNajiuliza mpaka kesho, kwa nini East Africa walimucha huyu jamaa
Raha ya DJ uwe na mzuka, hata kama wimbo mbaya utaupenda tu ukichezwa na Mafuvutantable: turntable .
MaDj wote wenye majina makubwa bongo wako vizuri, cha ziada kwa Mafuvu ni kelele zake tu
Ommy Crazy anajitahidi baada ya Fuvuhapo kwenye kuhype hawa Dj Summer, Ommy Crazy, Dommy wakasome kwanza ndio warudi hawamgusi hata kidogo wanajaribu jaribu tu
Maranyingi mtu anayeingia kwa mbwembwe mwisho wake huwa mbaya, nakumbuka kabla ya kwenda kutambulishwa mjengoni aliandaa msafara wa bodaboda na bajaj yaani full mbwembwe utadhani anaenda peponi kumbe Ruge anaenda kuua career yake[emoji3][emoji3][emoji3], Clouds wanakupenda ukiwa juu tu, waliipenda singeli kwavile ilikuwa inatisha mtaani na kina Manifongo, walipochuja wamewatosa hawana time nao hata fiestani na mtangazaji wao 'kicheko' ni kama wamemtema kiainahahahahah hapo uko sahihi kabisa aisee, Yaani Pale Kikosini kama hana namba jamaa na wala huwa sielewi anafanya nini mara 100 angebaki Efm sasahv angekuwa na base kubwa sana ya mashabiki
Dah nikiwa mkubwa nataka kuwa mafuvu beeeeibMafuvu beeeeeib
Ilikuwa unaenda na mke wa mtu mweupe nakujuaKuna club ya moja pale sinza defrance hotel pale kuna club alikua anatumbuiza pale aiseeh ni noma huyu jamaa alikua akishikilia vyombo akaajza mbwembwe zake ni lazima nitamtunza sana kwa bia jamaa anajua hana mshindani