Dj Mafuvu rasmi CMG..?

Dj Mafuvu rasmi CMG..?

Dj Mafuvu the tantable master, Nimemsikia leo kuanzia alfajiri saa 11 akiamsha kwa ngoma kali, ila nilimsikiliza awali kama majuma kadhaa yaliyopita kwenye XXL, Nikajiuliza ni shamra shamra tu za Fiesta au kuna lingine

Siku kadhaa mbeleni nikasoma Ukurasa wako wa IG ukilalamika kufanyiwa figisu na baadhi ya Djs wa Pale CMG kuwa wanakubania fursa ili usisajiliwe, nilitafakari saaana na ikanipa ugumu wakuamini na sikuamini kama wale Djs wangekufanyia figisu maana wengi wao walisajiliwa na bila kushikwa mkono wasingekuwa pale.

Ninachoamini unabase kubwa sana ya Mashabiki ikiwepo hata mimi na nilikuwa namis sana mikato, mikuno na playlist yako, Nimefurahishwa sana kukusikia leo nakuona kuwa ni Usajili rasmi

Nashindwa kuelewa media ile Isiyoboa Isiyopoa mlishindwana au tayari usajili ulikuwa umefungwa. Kwa sasa uko sehemu salama na Umeongeza Idadi kubwaaaa saana ya Mashabiki wako kukusikiliza. Gooo gooo Fuvu

Mafuvu Bae, Dj AD aka Mafuvu bae, The Tantablemaster
Mkuu umesema ulikua unamic mikuno ya DJ mafuvu !?? [emoji23] [emoji23] [emoji16]
 
tantable: turntable .
MaDj wote wenye majina makubwa bongo wako vizuri, cha ziada kwa Mafuvu ni kelele zake tu
 
ule waraka alioupost IG ilikuwa ni tension tu ama kick kwaajili ya kiwajaza upepo watu " waweze kuifuatilia zaidi clouds na tamasha lao la Fiesta ... ila niukweli uliowazi zaidi kwamba MAFUVU hana mpinzani Tz .. jamaa anajua mpaka kero " napenda jinsi anavyo hype huku ana cheza ngoma matata
hapo kwenye kuhype hawa Dj Summer, Ommy Crazy, Dommy wakasome kwanza ndio warudi hawamgusi hata kidogo wanajaribu jaribu tu
 
Najiuliza mpaka kesho, kwa nini East Africa walimucha huyu jamaa
wale kinachowaponza huwa misimamo yao isiyoeleweka, walishindwana kwenye makubaliano flani ya upande wa kazi na wala sio maslah Fuvu akaona isiwe shida kaeni na mnachokiamini acheni nibaki na ninachokiamini ntaenda kukifanya kwingine ndio akasepa
 
Ila nasikitika sana cluods fm wameenda kuizima nyota ya kicheko mtata tangu atoke pale e.fm ameshuka
hahahahah hapo uko sahihi kabisa aisee, Yaani Pale Kikosini kama hana namba jamaa na wala huwa sielewi anafanya nini mara 100 angebaki Efm sasahv angekuwa na base kubwa sana ya mashabiki
 
Kuna club ya moja pale sinza defrance hotel pale kuna club alikua anatumbuiza pale aiseeh ni noma huyu jamaa alikua akishikilia vyombo akaajza mbwembwe zake ni lazima nitamtunza sana kwa bia jamaa anajua hana mshindani
 
kwa sasa hapigi pale, ila ilikuwa noma, anajua sana jamaa
 
kwa sasa hapigi pale, ila ilikuwa noma, anajua sana jamaa
Ahhh mkuu ulishaendaga pale defrance hotel sinza?ni balaah jamaa alikua anakiwasha kinoma[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
hapo kwenye kuhype hawa Dj Summer, Ommy Crazy, Dommy wakasome kwanza ndio warudi hawamgusi hata kidogo wanajaribu jaribu tu
Yeaahh Jamaa ni mtu hatari sana kwenye tasnia ya u-dj
 
tantable: turntable .
MaDj wote wenye majina makubwa bongo wako vizuri, cha ziada kwa Mafuvu ni kelele zake tu
Raha ya DJ uwe na mzuka, hata kama wimbo mbaya utaupenda tu ukichezwa na Mafuvu
 
hahahahah hapo uko sahihi kabisa aisee, Yaani Pale Kikosini kama hana namba jamaa na wala huwa sielewi anafanya nini mara 100 angebaki Efm sasahv angekuwa na base kubwa sana ya mashabiki
Maranyingi mtu anayeingia kwa mbwembwe mwisho wake huwa mbaya, nakumbuka kabla ya kwenda kutambulishwa mjengoni aliandaa msafara wa bodaboda na bajaj yaani full mbwembwe utadhani anaenda peponi kumbe Ruge anaenda kuua career yake[emoji3][emoji3][emoji3], Clouds wanakupenda ukiwa juu tu, waliipenda singeli kwavile ilikuwa inatisha mtaani na kina Manifongo, walipochuja wamewatosa hawana time nao hata fiestani na mtangazaji wao 'kicheko' ni kama wamemtema kiaina
 
Kuna club ya moja pale sinza defrance hotel pale kuna club alikua anatumbuiza pale aiseeh ni noma huyu jamaa alikua akishikilia vyombo akaajza mbwembwe zake ni lazima nitamtunza sana kwa bia jamaa anajua hana mshindani
Ilikuwa unaenda na mke wa mtu mweupe nakujua
 
Back
Top Bottom