mayowela
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 2,125
- 1,753
Dj Mafuvu the tantable master, Nimemsikia leo kuanzia alfajiri saa 11 akiamsha kwa ngoma kali, ila nilimsikiliza awali kama majuma kadhaa yaliyopita kwenye XXL, Nikajiuliza ni shamra shamra tu za Fiesta au kuna lingine
Siku kadhaa mbeleni nikasoma Ukurasa wako wa IG ukilalamika kufanyiwa figisu na baadhi ya Djs wa Pale CMG kuwa wanakubania fursa ili usisajiliwe, nilitafakari saaana na ikanipa ugumu wakuamini na sikuamini kama wale Djs wangekufanyia figisu maana wengi wao walisajiliwa na bila kushikwa mkono wasingekuwa pale.
Ninachoamini unabase kubwa sana ya Mashabiki ikiwepo hata mimi na nilikuwa namis sana mikato, mikuno na playlist yako, Nimefurahishwa sana kukusikia leo nakuona kuwa ni Usajili rasmi
Nashindwa kuelewa media ile Isiyoboa Isiyopoa mlishindwana au tayari usajili ulikuwa umefungwa. Kwa sasa uko sehemu salama na Umeongeza Idadi kubwaaaa saana ya Mashabiki wako kukusikiliza. Gooo gooo Fuvu
Mafuvu Bae, Dj AD aka Mafuvu bae, The Tantablemaster