Jizi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 297
- 300
Panga foleni zamu yako itafika kupigwa nao[emoji36]Ndio hivyo yeye ndio boss pale EFM......
Sa hivi anajiopolea watoto wakaree tu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Panga foleni zamu yako itafika kupigwa nao[emoji36]Ndio hivyo yeye ndio boss pale EFM......
Sa hivi anajiopolea watoto wakaree tu..
Mbowe kaingiaje hapo mkuu . Huu Uzi unamuhusu Mbowe ? Kama hauna cha kuchangia soma comments za wenzako ukimaliza kojoa ukalale. Kwan umesikia chadema ni Radio.? Hichi ni chama cha siasa Unatakiwa ukiheshimu acha miheuko soma alama za nyakati.Unashangaa yeye kutoka udj hadi kumiliki radio,mbona hushangai Mbowe kutoka udj hadi kumiliki Chadema?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]......, aiseee nimeipenda sana hiiUnashangaa yeye kutoka udj hadi kumiliki radio,mbona hushangai Mbowe kutoka udj hadi kumiliki Chadema?
Panga foleni zamu yako itafika kupigwa nao[emoji36]
atakuwa mwanaume wa Dar uyu anafumuliwa marinda mbowe hujawahi kuwa dj ww wahi lumumba ukachukue buku 7Mbowe kaingiaje hapo mkuu . Huu Uzi unamuhusu Mbowe ? Kama hauna cha kuchangia soma comments za wenzako ukimaliza kojoa ukalale. Kwan umesikia chadema ni Radio.? Hichi ni chama cha siasa Unatakiwa ukiheshimu acha miheuko soma alama za nyakati.
Hii ndio comment bora ya wikendUnashangaa yeye kutoka udj hadi kumiliki radio,mbona hushangai Mbowe kutoka udj hadi kumiliki Chadema?
Ngoja waje kutoka mtoniUmewachokoza......!!!
Mbona ushangai Madagascar former president ANDRY RAJOELINA kutoka Udj mpaka mayor then URAISHivi ni kweli kabisa DJ Majey ndiye boss wa E. fm au? Yani jamaa kutoka kwYenye u DJ hadi kuwa mkurungenzi wa kituo kinachokuja kwa kasi ya kimbunga pia kufanya usajili wa kutisha hongera broo sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unashangaa yeye kutoka udj hadi kumiliki radio,mbona hushangai Mbowe kutoka udj hadi kumiliki Chadema?
E fm education, employment, entertainment wanatumia vizur makosa ya mawingu waliobaki kukosana na wasanii ,migogoro,kupiga Nyimbo za wasanii anaotaka boss.Hivi ni kweli kabisa DJ Majey ndiye boss wa E. fm au? Yani jamaa kutoka kwenye u DJ hadi kuwa mkurungenzi wa kituo kinachokuja kwa kasi ya kimbunga pia kufanya usajili wa kutisha hongera broo sana.
Eatv Radio, radio 1 stereo owner, CPA HOLDERWamiliki wote Ma Radio zinazo bamba hapa mjini wote ni Ma Dj kuna Dj Joseph Kusaga na Dj Majay
Vipi kuhusu Joseph Kusaga mmiliki wa clouds media...huyu alikua dj kabisa ndo kaanzia uko mpaka leo hapo halipoHivi ni kweli kabisa DJ Majey ndiye boss wa E. fm au? Yani jamaa kutoka kwenye u DJ hadi kuwa mkurungenzi wa kituo kinachokuja kwa kasi ya kimbunga pia kufanya usajili wa kutisha hongera broo sana.
E fm education, employment, entertainment wanatumia vizur makosa ya mawingu waliobaki kukosana na wasanii ,migogoro,kupiga Nyimbo za wasanii anaotaka boss.
Haswaaa hujakosea Clouds ndio Mawinguhiv mawingu ndo clouds, miaka ile tulikuwa tunasikia mawingu studio, so ndo clouds au tofauti?
Wewe ni takataka!Unashangaa yeye kutoka udj hadi kumiliki radio,mbona hushangai Mbowe kutoka udj hadi kumiliki Chadema?
Shindwa pepo, wivu tu, Na yule aliekuwa mcheza ngoma hadi kuwa columbas katk mabara yoyeUnashangaa yeye kutoka udj hadi kumiliki radio,mbona hushangai Mbowe kutoka udj hadi kumiliki Chadema?