DJ Majay: Kutoka kwenye DJ hadi kumiliki station ya radio

Unashangaa yeye kutoka udj hadi kumiliki radio,mbona hushangai Mbowe kutoka udj hadi kumiliki Chadema?
Mbowe kaingiaje hapo mkuu . Huu Uzi unamuhusu Mbowe ? Kama hauna cha kuchangia soma comments za wenzako ukimaliza kojoa ukalale. Kwan umesikia chadema ni Radio.? Hichi ni chama cha siasa Unatakiwa ukiheshimu acha miheuko soma alama za nyakati.
 
atakuwa mwanaume wa Dar uyu anafumuliwa marinda mbowe hujawahi kuwa dj ww wahi lumumba ukachukue buku 7
 
Wamiliki wote Ma Radio zinazo bamba hapa mjini wote ni Ma Dj kuna Dj Joseph Kusaga na Dj Majay
 
Hivi ni kweli kabisa DJ Majey ndiye boss wa E. fm au? Yani jamaa kutoka kwYenye u DJ hadi kuwa mkurungenzi wa kituo kinachokuja kwa kasi ya kimbunga pia kufanya usajili wa kutisha hongera broo sana.
Mbona ushangai Madagascar former president ANDRY RAJOELINA kutoka Udj mpaka mayor then URAIS
 
Hivi ni kweli kabisa DJ Majey ndiye boss wa E. fm au? Yani jamaa kutoka kwenye u DJ hadi kuwa mkurungenzi wa kituo kinachokuja kwa kasi ya kimbunga pia kufanya usajili wa kutisha hongera broo sana.
E fm education, employment, entertainment wanatumia vizur makosa ya mawingu waliobaki kukosana na wasanii ,migogoro,kupiga Nyimbo za wasanii anaotaka boss.
 
Vipi kuhusu Joseph Kusaga mmiliki wa clouds media...huyu alikua dj kabisa ndo kaanzia uko mpaka leo hapo halipo
 
hatakusaga alikuwa dj cha ajabu kitu gani,rais wa madagascar andy rajoilina,donald trump wote madj
 
E fm education, employment, entertainment wanatumia vizur makosa ya mawingu waliobaki kukosana na wasanii ,migogoro,kupiga Nyimbo za wasanii anaotaka boss.

hiv mawingu ndo clouds, miaka ile tulikuwa tunasikia mawingu studio, so ndo clouds au tofauti?
 
Unashangaa yeye kutoka udj hadi kumiliki radio,mbona hushangai Mbowe kutoka udj hadi kumiliki Chadema?
Shindwa pepo, wivu tu, Na yule aliekuwa mcheza ngoma hadi kuwa columbas katk mabara yoye
 
Back
Top Bottom