Dj Majizo, Muasisi wa muziki wa Mchiriku, Mnanda, Singeli redioni!

Huyu kutwa kukimbizana na kina Lulu Insta halafu huo ubunifu atautoa wapi? It's only a matter of time before we see his radio station go down the drains. Huwezi ukaendesha biashara ya radio kwa uswahiliswahili. You got to have the needed talent.
 
"Nasikia hainaga ushemeji tunakulaaa,nasikia hainaga ushemeji tunakulaga
Majita zamu ya nani leo,zamu ya Man Fongo
Zamu yako itakuja kesho,usijali baharia wangu"
Mwisho wa kunukuu...
Huyu man Fongo ni njaa nyingine baada ya Msaga sumu.
YNWA
Kama wema sepenga..wolper , Auntie.....hahahaha Tunakulagaa cjui zamu ya nani..
 
Sasa nani kasema mambo ya Rname e hapa akanana jane lowasa?
Huyo Majizzo inabidi muwe mnampa ushauri halisi. Mkiishia kumsifia atajaa kichwa na kujiiona kashafika. Radio yake ilitakiwa ilete changamoto halisi kwa radio zilizopo, lakini hili silioni zaidi hivyo visingeli. Visingeli itafika kipindi vitapoteza umaarufu. Sasa sijui atahamia kwenye reggae? Awe mbunifu apunguze ukilaza
 
Huyu kutwa kukimbizana na kina Lulu Insta halafu huo ubunifu atautoa wapi? It's only a matter of time before we see his radio station go down the drains. Huwezi ukaendesha biashara ya radio kwa uswahiliswahili. You got to have the needed talent.
Dada samahani Una undugu wowote na yule "raisi wetu wa kwenye mioyo"?
 
Huyo Majizo kapata fedha wapi za kuanzisha radio? Buti kama hii hauna beli kama hili hauwezi nunua Hauna.
 
mchiriku napenda sana...majizo ni mbunifu sana hayo mabongo fleva yanachosha tu kila redio unayasikia mpaka yanaboa..big up majizo
 
Huyo Majizzo hata afanye nini he will never come closer to Ruge Mtahaba's success. Talk about the transformation in the modern-day media industry, and you'll never dare not mention his name.
Never say never.. Hapo kwenye Ruge nafikiri ulitaka kummanisha Kusaga
 
Sema unamchukia tuu yeye na radio yake ...wewe unafikiri wote wenye radio walianza na hatua kumi?
Hata hivyo hayo mengi haya husu hii mada pole sana najua unaumia japo sijajua unaumizwa na nini jirani yako akisifiwa! Pole akanana jane Lowasa
 
Huyu kutwa kukimbizana na kina Lulu Insta halafu huo ubunifu atautoa wapi? It's only a matter of time before we see his radio station go down the drains. Huwezi ukaendesha biashara ya radio kwa uswahiliswahili. You got to have the needed talent.
Ok tatizo lako nimelielewa.
 
Sema unamchukia tuu yeye na radio yake ...wewe unafikiri wote wenye radio walianza na hatua kumi?
Hata hivyo hayo mengi haya husu hii mada pole sana najua unaumia japo sijajua unaumizwa na nini jirani yako akisifiwa! Pole akanana jane Lowasa
Tatizo lake ni Lulu sio Majay.
 
Unajua unanifany nicheke kwakuw sioni hoja ambayo unayo? Na leo siko tayari kujadili hoja za nani ni nani ..leo ukweli unaonekana!
hoja zako dhaifu sana...mbona bongo fleva anaupiga na mbona hata kwingine hauchokwi!
Hebu tumpongeze kwa hatua hii basi jirani!
 
mchiriku napenda sana...majizo ni mbunifu sana hayo mabongo fleva yanachosha tu kila redio unayasikia mpaka yanaboa..big up majizo
Yaah Jamaa ni mbunifu ana stahili pongezi!
 
hata mm nahisi mtoa mada hana lolote ila tu anataka apate habari zaidi juu ya yale aliyoongea mange kuwa jamaa na yy ni muuza unga wa ngano.
Mbona kama mnaumia mwenzenu kusifiwa? Kwa taarifa hata siku moja sinunui au kuja kuhoji habari ya huyo kichaa Mange...mbona mna wasi wasi vijana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…