Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Nimepiga mshindo..mhindi karuka ruka mwisho kanata kwenye urimbo..Masela muda wa kubet..[emoji443] [emoji445] [emoji445] [emoji445]Muda wa Kubet!
Hatari kubwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepiga mshindo..mhindi karuka ruka mwisho kanata kwenye urimbo..Masela muda wa kubet..[emoji443] [emoji445] [emoji445] [emoji445]Muda wa Kubet!
Hatari kubwa!
Kama wema sepenga..wolper , Auntie.....hahahaha Tunakulagaa cjui zamu ya nani.."Nasikia hainaga ushemeji tunakulaaa,nasikia hainaga ushemeji tunakulaga
Majita zamu ya nani leo,zamu ya Man Fongo
Zamu yako itakuja kesho,usijali baharia wangu"
Mwisho wa kunukuu...
Huyu man Fongo ni njaa nyingine baada ya Msaga sumu.
YNWA
Huyo Majizzo inabidi muwe mnampa ushauri halisi. Mkiishia kumsifia atajaa kichwa na kujiiona kashafika. Radio yake ilitakiwa ilete changamoto halisi kwa radio zilizopo, lakini hili silioni zaidi hivyo visingeli. Visingeli itafika kipindi vitapoteza umaarufu. Sasa sijui atahamia kwenye reggae? Awe mbunifu apunguze ukilazaSasa nani kasema mambo ya Rname e hapa akanana jane lowasa?
Dada samahani Una undugu wowote na yule "raisi wetu wa kwenye mioyo"?Huyu kutwa kukimbizana na kina Lulu Insta halafu huo ubunifu atautoa wapi? It's only a matter of time before we see his radio station go down the drains. Huwezi ukaendesha biashara ya radio kwa uswahiliswahili. You got to have the needed talent.
Never say never.. Hapo kwenye Ruge nafikiri ulitaka kummanisha KusagaHuyo Majizzo hata afanye nini he will never come closer to Ruge Mtahaba's success. Talk about the transformation in the modern-day media industry, and you'll never dare not mention his name.
Sema unamchukia tuu yeye na radio yake ...wewe unafikiri wote wenye radio walianza na hatua kumi?Huyo Majizzo inabidi muwe mnampa ushauri halisi. Mkiishia kumsifia atajaa kichwa na kujiiona kashafika. Radio yake ilitakiwa ilete changamoto halisi kwa radio zilizopo, lakini hili silioni zaidi hivyo visingeli. Visingeli itafika kipindi vitapoteza umaarufu. Sasa sijui atahamia kwenye reggae? Awe mbunifu apunguze ukilaza
Ok tatizo lako nimelielewa.Huyu kutwa kukimbizana na kina Lulu Insta halafu huo ubunifu atautoa wapi? It's only a matter of time before we see his radio station go down the drains. Huwezi ukaendesha biashara ya radio kwa uswahiliswahili. You got to have the needed talent.
Tatizo lake ni Lulu sio Majay.Sema unamchukia tuu yeye na radio yake ...wewe unafikiri wote wenye radio walianza na hatua kumi?
Hata hivyo hayo mengi haya husu hii mada pole sana najua unaumia japo sijajua unaumizwa na nini jirani yako akisifiwa! Pole akanana jane Lowasa
Vichwa vyetu vimefkiri jambo 1Naona majizo ameanza kuwa maarufu, mleta mada sio zaidi ya hili unalitafita kweli??
hata mm nahisi mtoa mada hana lolote ila tu anataka apate habari zaidi juu ya yale aliyoongea mange kuwa jamaa na yy ni muuza unga wa ngano.Naona majizo ameanza kuwa maarufu, mleta mada sio zaidi ya hili unalitafita kweli??
Unajua unanifany nicheke kwakuw sioni hoja ambayo unayo? Na leo siko tayari kujadili hoja za nani ni nani ..leo ukweli unaonekana!Huyo Majizzo inabidi muwe mnampa ushauri halisi. Mkiishia kumsifia atajaa kichwa na kujiiona kashafika. Radio yake ilitakiwa ilete changamoto halisi kwa radio zilizopo, lakini hili silioni zaidi hivyo visingeli. Visingeli itafika kipindi vitapoteza umaarufu. Sasa sijui atahamia kwenye reggae? Awe mbunifu apunguze ukilaza
Mbona kama mnaumia mwenzenu kusifiwa? Kwa taarifa hata siku moja sinunui au kuja kuhoji habari ya huyo kichaa Mange...mbona mna wasi wasi vijana?hata mm nahisi mtoa mada hana lolote ila tu anataka apate habari zaidi juu ya yale aliyoongea mange kuwa jamaa na yy ni muuza unga wa ngano.