Mbali na yote mazuri yanayoendelea kuibuka kuto hii radio ya E-fm .. niepnde tu kuchukua nafasi hii kutoka chini ya Uvungu wa moyo wangu kupongeza Uongozi mzima wa E-fm Radio kwa juhudi zao za kuupromoti mziki huu wa jiji Dar-es-salaam kwa Jina maarufu la SINGELI.
vipindi vya Jioni mziki huu hupigwa saana , na mara nyingi pia Asubuhi .. na kuupelekea mziki huu kua maarufu gafla nankua kivutio cha watu wengi.
Mbali na kuweka juhudi katika mziki huo ..pia wamekua na vipindi vinavyovutia ..kama ni mtuamiaji wa Dalaladal ..kila upandapo Radio inayosikilizwa ni E-fm Radio .
Hongereni saana na mmeleta chamgamoto kubwa kwa radio nyingine kutofanya kazi kimazoea ...kuna radio maarufu tutaanza kuzisahau mda si mrefu .