Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swalama bibie?
hiyo miziki ya mnanda,singeli ndio ya aina gani?
mwenye video ebu atupie sisi watu wa mkoani tujue........
Mbona radio nyingi tuTunaongelea radioni!
ndo hali halisi ilivyomtaani,demu mmoja anaweza akazungukiwa ba watu hata watano tena wanaofahamiana,leo kaliwa na man fongo,kesho kaliwa na mesen,kesho kutwa na tito yaana mpaka P nae anapita,alafu wote wanafahamiana ndo maana akasema skuiz hamnaga ushemeji watu wanakula tuHalafu naona kama hiyo "Hainaga Ushemeji" ndio imependwa sana humu,
Kunaniiii???
Kwema kabisa sijui weye?Swalama yakheee.