Dj Majizo, Muasisi wa muziki wa Mchiriku, Mnanda, Singeli redioni!

Dj Majizo, Muasisi wa muziki wa Mchiriku, Mnanda, Singeli redioni!

Naomba frequency mkuu
Kwa Dar, Pwani na Bagamoyo ni 93.7 FM..

Pia waweza kuisikiliza kwenye simu/laptop ama PC kupitia Tunein Radio...

Na kama una king'amuzi cha Azam TV ukiweka sehemu ya Radio EFM ni ya tatu baada ya UFM na Clouds FM...
 
Mi natafuta nyimbo za Lupozi au Juma Mpogo.
 
Daa nautafuta huu wimbo!
Duh!sijui utaupataje mimi nimevuta kumbukumbu na kutelemsha hizo lyrics kiduchu ilikuwa sio mchezo wakuitwa Atomic au topaz hao
Kuna nyingine wanakwambia
Tulikuwa tumekaa maskani
Maskani famagusta
Mara washkaj wanatuambia
Kicheko katutoka
Sie yeye peke yake.
Nyingine ilikuwa
Atakufanyia hila
Na rumande akuweke
Uijutie duniaaaa
Kila shetani na mbuyu wake.
Duh!zamani hiyo.
 
Duh!sijui utaupataje mimi nimevuta kumbukumbu na kutelemsha hizo lyrics kiduchu ilikuwa sio mchezo wakuitwa Atomic au topaz hao
Kuna nyingine wanakwambia
Tulikuwa tumekaa maskani
Maskani famagusta
Mara washkaj wanatuambia
Kicheko katutoka
Sie yeye peke yake.
Nyingine ilikuwa
Atakufanyia hila
Na rumande akuweke
Uijutie duniaaaa
Kila shetani na mbuyu wake.
Duh!zamani hiyo.


Mi natafuta nyimbo za Juma Mpogo, mtandoni sijazipata. Labda mpaka nije huko Dar mwezi December
 
Kwa Dar, Pwani na Bagamoyo ni 93.7 FM..

Pia waweza kuisikiliza kwenye simu/laptop ama PC kupitia Tunein Radio...

Na kama una king'amuzi cha Azam TV ukiweka sehemu ya Radio EFM ni ya tatu baada ya UFM na Clouds FM...
TuneIn ina android version yake mkuu?
 
View attachment 353220View attachment 353221View attachment 353222


Wasalaam wana jamvi!

Ni ukweli usio pingika kuna muziki fulani uliokuwa umezoeleka ndio unatakiwa kupigwa radioni na hii ilikuwa ni uniform za Radio zote kana kwamba ilikuwa ni sheria ambayo imewekwa!

ilikuwa ni vigumu na hakuna uthubutu wa miziki ya mnanda ,visingeli na mchiriku kusikia ukipigwa radioni na sio kwamba hauna mashabiki bali una mashabiki wengi sana sema radio muda mwingine hulazimisha walaji kula hata wasicho kitaka!

Dj Majizzo baada ya kuanzisha kutuo cha E-FM imekuwa kama mkombozi wa miziki yetu ya asili na wamekuwa wakiupa muda wa kutosha kuupromote kiasi kwamba hata walio kuwa hawajui uzuri wake sasa wanaelewa!

Mimi sikuwa mshabiki wa miziki wa namna hii lakini sasa nimekuwa kama teja maana kwakweli nyimbo hizi kuna zenye jumbe nzuri sana kiasi kwamba ukisikiliza una hamasika hakika!

Kupitia DJ majizzo (E-FM) leo hii sasa nyimbo za mnanda,mchiriku na singeli zimeanza kusikika kwenye radio nyingine na wasanii hao wanapata showa kitu ambacho hakikutegemewa!

Leo hii ukisikiliza East africa radio utasikia wakipiga nyimbo hizi na hata Clouds na kwenye matamasha tunaona wasanii wa minanda,mchiriku na visingeli wanapewa show tofauti za zamani wale wa bongo fleva ndio walikuwa wanakula hela peke yao!

Ni wazi kabisa Wasanii wa minanda ,mchiriku na visingeli wanapaswa kumshukuru Majizzo kwani amechangia sana kwenye mafanikio yao na mapinduzi yao!

Mimi nimshukuru tuu Majizzo kwa kuwasaidia vijana hawa na kuupa thamani mziki wao!

Karibuni Wana jamvi!
Hapa naskiliza mchiriku
 
Duh!sijui utaupataje mimi nimevuta kumbukumbu na kutelemsha hizo lyrics kiduchu ilikuwa sio mchezo wakuitwa Atomic au topaz hao
Kuna nyingine wanakwambia
Tulikuwa tumekaa maskani
Maskani famagusta
Mara washkaj wanatuambia
Kicheko katutoka
Sie yeye peke yake.
Nyingine ilikuwa
Atakufanyia hila
Na rumande akuweke
Uijutie duniaaaa
Kila shetani na mbuyu wake.
Duh!zamani hiyo.
Huo wimbo ninao,kuna mtu alinipa nyimbo nyingi sana za michiriku
 
Aisee mi siku moja nitajitoa ufahamu niende show hata moja ya kina Msaga Sumu, kuna dogo MC Sudi (aliimba wimbo wa Naipenda Simba), Man Fongo, Dogo Side Mtoto wa mama Shamte (aliimba kabla hajatoka Dayamondi, na hii ya sasa Huku Kwetu Mbagalaaaa), noma.

Kuna wimbo mmoja siukumbuki kitu kama Mambo ya Mtaa wa Kongo, jamaa kapanda gari kutoka Gongo la Mboto, kufika mtaa wa Kongo akalizwa hadi nauli.
Mataluma huyo cjui kaishia wapi
 
Back
Top Bottom