Tbway hawezi pata kipindi Cloudsfm labda CloudsTvnamsubir Tbway CloudsFM
huwezi amini mafuvu mpaka leo hana kazi si wamrudishe tuWakuu, yule dj no 1 in town amehamia rasmi Efm radio na E tv akiachana na Eatv pamoja na radio.
Hii ni habari mbaya kwa wale wa Club next door Masaki bila kusahau Jangwani Sea breeze.
Alikua anapiga kazi sehemu 3,lakini sasa Majizzo kamchukua na kumpa Mpunga mrefu ili aachane na deiwaka za Clubs
Aliziba vizuri pengo la dj Mafuvu, lakini sasa kaondoka, kazi kwenu Eatv
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
ana sound system anakodisha na anasimamia barbershop yake basi...... defrance hotel huwa anaenda piga paleWell..hivi mafuvu yuko wapi nowdays?
Sent from my SM-A800I using JamiiForums mobile app
hana kazi redioni anapiga defrance hotel ipo sinzaIvi mafuvu wapi mazee??
Sent from my X-TIGI_JOY10 using JamiiForums mobile app
anasimamia saluni yake hana kazi redioniMafuvu nae yuko wap??
Sent from my DP7CPRO using JamiiForums mobile app
hana kazi redioni anapiga defrance hotel ipo sinzaMafuvu alienda wapi asee?
Kwa aziz allyIvi mafuvu wapi mazee??
Sent from my X-TIGI_JOY10 using JamiiForums mobile app
sasa huyu ndo Dj namba moja in twn dj D omyDj d ommy huyo n wa clouds
Unamjua dj 0 a.k.a kiduara ausasa huyu ndo Dj namba moja in twn dj D omy
nampata ila hamuwez D omy hebu tega masikio yako vizur kaka utasikia mwenyeweUnamjua dj 0 a.k.a kiduara au
Unamskia
[Color= yellow]Triple A[/color]
ndio ile babashop IPO kwa azizi aly upande wa kushoto unapoenda mbagala?Kwa aziz ally
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Mpunga..Sijui Earadio kuna shida gani ....duuu
dah unatumia tecno.Kwa aziz ally
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Hapana, inawezekana tunatokea sehemu moja. Ludewa Watitu ni wengi sana na siyo ndugu.Mkuu baba yako ndiyo mwenye alikuwa director wa bongomovie? William Mtitu kama sikosei.. ndiye?