Dj Ommy crazy ahamia Efm

Dj Ommy crazy ahamia Efm

EA Radio wako na sera fulani mbaya sana ambayo inawafanya ma dj wasiweze kuonyesha uwezo wao binafsi,wala sio swala la maslai tu.
 
Wakuu, yule dj no 1 in town amehamia rasmi Efm radio na E tv akiachana na Eatv pamoja na radio.
Hii ni habari mbaya kwa wale wa Club next door Masaki bila kusahau Jangwani Sea breeze.

Alikua anapiga kazi sehemu 3,lakini sasa Majizzo kamchukua na kumpa Mpunga mrefu ili aachane na deiwaka za Clubs

Aliziba vizuri pengo la dj Mafuvu, lakini sasa kaondoka, kazi kwenu Eatv

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
huwezi amini mafuvu mpaka leo hana kazi si wamrudishe tu
 
Ndio nani huyo?

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom