RIP DJ Rankim jana nilipata taarifa hali yake mbaya sana. So sad kwakweli
mwenye updates mpya atujuze
Dj maarufu Rankeem amefariki dunia hii leo katika hospital ya mwananyamala radio one.
Hivi yule half-sister wake aitwaye Nyangwende yupo?
Dah aisee! Nyangwende (Halima) yuko wapi?
Huyo marehemu alikuwa dini gani?