DJ Rankeem Ramadhan afariki dunia

DJ Rankeem Ramadhan afariki dunia

RIP Rankeem alikua jiran back in the days Mwenge
 
Amefariki Mwananyamala Hospital wakati akifanyiwa operation ya Tumbo. RIP RANKIM
 
RIP Rankim, alikuwa na sauti yake tofauti kabisa those days akiwa radio one
 
Yes nilikuwa nimeipenda sana sauti yake miaka ya kuanza kwa Radio One Stereo!
 
Dah! enzi hizo za akina "Aunt Ndina", R.I.P bro.
 
Duh! Namkumbuka huyu jamaa enzi zake akiwa radio One. Jamaa alikuwa na bonge la bass! Mzee wa "NDANI YA NYUMBA"

RIP DJ.
 
Pumzika Dj R. Ramadhani
Nakumbuka pia ukiwa Classic Fm ambayo
sasa hivi ni Magic Fm kama sijakosea.
 
Back
Top Bottom