DJ Rommy Jones kwenye kashfa ya ubakaji Sweden

Kuna jamaa kijiweni eti walisema rommy ni kama midimpo kumbe si kweli bana daaah
teh teh
waswahili wana maneno sana aisee.

Hii tuhuma pamoja na watu kudhani imemcafua, lakini imemsafisha sana, wataanza kumuheshimu sasa kitaa
 
teh teh
waswahili wana maneno sana aisee.

Hii tuhuma pamoja na watu kudhani imemcafua, lakini imemsafisha sana, wataanza kumuheshimu sasa kitaa
Au imetengenezwa ili bro nae aamke kuondoa aibu WCB maana ipo mda mrefu sasa wakuu aibu yao. Maana mpk wamekiri ni soo
 
duh kweli mlaji huliwa..Jmaa kapewa simu akachekelea tu kumbe...watu wanaplan za mbele
 
Au imetengenezwa ili bro nae aamke kuondoa aibu WCB maana ipo mda mrefu sasa wakuu aibu yao. Maana mpk wamekiri ni soo

Rommy ana demu wake bongo, huwa anakazana kumpost sana insta...
 
Hapo ndipo kwenye shida ya waswahili. Siyo lazima mwanamke akikukirimu au kuwa na wewe usiku mzima iwe ni warrant ya kufanya ngono. Tenganisha urafiki, kampani, kulala wote na kufanya ngono. Kila tukio linajitegemea na linahitaji heshima yake. Ninaonaga aibu sana kwa wanaume wenzangu wanapokuwa na mwanamke, au anapoona mwanamke anamfurahia, basi yeye anakimbilia ngono tena hata bila kujua ridhaa ya mrengwa.

Tafadhil sana tujifunze ufahamu na si kutumia mabavu ama kukariri. Hawa mama zetu ni binadamu na wanautashi wao. Anaweza kuwa siku hiyo yeye anapenda muwe wote katika masuala yote na hata mkawa nude, lakini asiwe anahitaji ngono. Kama unahitaji, jadili au shawishi na si ku assume and kutumia mabavu mwisho wake fedheha na kumpoteza mpenzi.
 
Unaishi nchi gani?
hao wanawake unaowazungumzia ni wanawake wa Tz?
 
Hivi mkuu na ukubwa wako umeshawahi kukutana na mwanamke anayekubali kuwa niko tayari kwa ngono njoo unigegede??

Si huwa tunapiga shoo hivyo hivyo kwa kulazimisha lazimisha tuu
 
Hivi mkuu na ukubwa wako umeshawahi kukutana na mwanamke anayekubali kuwa niko tayari kwa ngono njoo unigegede??

Si huwa tunapiga shoo hivyo hivyo kwa kulazimisha lazimisha tuu

Kijana wangu. Hili fumbo kumbe ni somo kamili linahitaji kutungiwa mtaala shuleni. Ili watu wasiingie kwenye makosa ya ubakaji kwa kudhani mtindo wa kuku ndio wa binadamu. Miimi sikuwahi kubaka hata nilipokuwa front line katika vita vya Mtukula na Renamo. Ninawafahamu wanawake na uzuri wananikubali kwa sababu ninawajulia. Sihitaji kubaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…