Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
teh teh tehDuh!!
Kuna jamaa kijiweni eti walisema rommy ni kama midimpo kumbe si kweli bana daaahteh teh teh
mkuu mbona unashangaa aiseee
At least naye kapata kaskendo, maana Nilikuwa na mashaka nayeKuna jamaa kijiweni eti walisema rommy ni kama midimpo kumbe si kweli bana daaah
teh tehKuna jamaa kijiweni eti walisema rommy ni kama midimpo kumbe si kweli bana daaah
Au imetengenezwa ili bro nae aamke kuondoa aibu WCB maana ipo mda mrefu sasa wakuu aibu yao. Maana mpk wamekiri ni sooteh teh
waswahili wana maneno sana aisee.
Hii tuhuma pamoja na watu kudhani imemcafua, lakini imemsafisha sana, wataanza kumuheshimu sasa kitaa
Au imetengenezwa ili bro nae aamke kuondoa aibu WCB maana ipo mda mrefu sasa wakuu aibu yao. Maana mpk wamekiri ni soo
![]()
Hatimaye ukweli juu ya sakata la kaka wa staa wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Rommy Jones kufanya tukio la kubaka huko Sweeden umejulikana
Awali kulienea tetesi mbalimbali kuwa Rommy ambaye ni DJ rasmi wa Diamond na mmoja wa wafanyakazi wa Wasafi Classic Baby (WCB) kuwa amebaka kisha kukimbia nchini humo bila kuelezwa undani wa tukio hilo.
Meneja Matukio ya Kimataifa wa Diamond, Sallam Sharaff akisimulia kilichotokea alisema kuwa maneno yaliyozagaa mtaani na kwenye mitandao ya kijamii yalielemea kwenye ushabiki na hata yanavyoelezewa hakuna anayetambua undani wa tukio hilo lilivyojiri.
“Ishu hiyo ni kweli ilitokea lakini ninachoweza kusema ni kwamba ulikuwa ni mchezo mchafu ambao ulilenga kuichafulia jina WCB."
“Madai ya Rommy Jones kubaka siyo ya kweli kwa sababu mimi ninachokijua ni kwamba, huyo mrembo aitwaye Debora alikuwa akiwasiliana na Rommy Jones siku kibao yaani ni zaidi ya miaka miwili huko nyuma."
“Siku tulipofika Sweden tu, Debora alijua kuwa Rommy Jones yupo ‘so’ alimnunulia zawadi ya simu na kumletea kwenye apartments (nyumba za kuishi) tulizokuwa tumefikia na jioni yake akamtumia gari, likaja kumchukua na kumpeleka kwake, lilala huko na kurudi asubuhi yake maana tulikuwa tunaenda kufanya shoo kwenye mji mwingine."
“Ujue ishu hii mimi baadaye nilikuja kugundua kwamba kuna namna ambayo Debora alikuwa akitengeneza mazingira ya kutafuta pesa kwani sheria ya Sweden siku zote ukilala na mwanamke bila ridhaa yake akishitaki unatuhumiwa kuwa umebaka na yeye analipwa kama dola elfu kumi na mbili (zaidi ya Sh. milioni 24 za Kitanzania)".
“Hata kama ni mkeo, ukifanya naye tendo la ndoa bila yeye kuridhia na akashitaki, basi wewe utakuwa umebaka na sheria inakufunga huku yeye akilipwa kiasi hicho cha fedha".
“Kilichotokea kwa Rommy Jones ni dhahiri kabisa kuwa Debora alitaka kujipatia pesa kwa njia hiyo kwani baada ya kuanza kung’aka kuwa amebakwa, mimi nilimtafuta na kumuomba msamaha maana Rommy Jones hakujua kama sheria ya huko iko hivyo na isitoshe wote walikuwa wamelewa.
“Pamoja na msamaha, Debora aliendelea kuomba afidiwe dola elfu kumi na mbili, mimi nikamwambia nimpatie dola elfu sita lakini aligoma na kutaka hiyo hivyo tukashindwa kuafikiana."
“Baada ya kuona tumeshindwa akaanza kututishia kuwa Diamond ni kaka yake hivyo anahusika na msala huo.
“Kweli polisi walifika na kumkamata Diamond, tukawaambia kuwa Rommy Jones si DJ wetu na kwamba tulimkodi tu na tayari ameshaondoka zake kwao.
“Baada ya kuona hivyo hawakuwa na jinsi, wakamwachia Diamond na sisi tukaendelea na shoo zetu.
“Hayo yote yalitokea tukiwa tumebakiza shoo mbili tumalize ziara hiyo hivyo Rommy Jones akawa ‘wanted’ ndiyo maana aliondoka mapema kurejea Tanzania,” alimaliza kusimulia Sallam.
Source: Gazeti letu Pendwa
Hapo ndipo kwenye shida ya waswahili. Siyo lazima mwanamke akikukirimu au kuwa na wewe usiku mzima iwe ni warrant ya kufanya ngono. Tenganisha urafiki, kampani, kulala wote na kufanya ngono. Kila tukio linajitegemea na linahitaji heshima yake. Ninaonaga aibu sana kwa wanaume wenzangu wanapokuwa na mwanamke, au anapoona mwanamke anamfurahia, basi yeye anakimbilia ngono tena hata bila kujua ridhaa ya mrengwa.
Tafadhil sana tujifunze ufahamu na si kutumia mabavu ama kukariri. Hawa mama zetu ni binadamu na wanautashi wao. Anaweza kuwa siku hiyo yeye anapenda muwe wote katika masuala yote na hata mkawa nude, lakini asiwe anahitaji ngono. Kama unahitaji, jadili au shawishi na si ku assume and kutumia mabavu mwisho wake fedheha na kumpoteza mpenzi.
Hivi mkuu na ukubwa wako umeshawahi kukutana na mwanamke anayekubali kuwa niko tayari kwa ngono njoo unigegede??Hapo ndipo kwenye shida ya waswahili. Siyo lazima mwanamke akikukirimu au kuwa na wewe usiku mzima iwe ni warrant ya kufanya ngono. Tenganisha urafiki, kampani, kulala wote na kufanya ngono. Kila tukio linajitegemea na linahitaji heshima yake. Ninaonaga aibu sana kwa wanaume wenzangu wanapokuwa na mwanamke, au anapoona mwanamke anamfurahia, basi yeye anakimbilia ngono tena hata bila kujua ridhaa ya mrengwa.
Tafadhil sana tujifunze ufahamu na si kutumia mabavu ama kukariri. Hawa mama zetu ni binadamu na wanautashi wao. Anaweza kuwa siku hiyo yeye anapenda muwe wote katika masuala yote na hata mkawa nude, lakini asiwe anahitaji ngono. Kama unahitaji, jadili au shawishi na si ku assume and kutumia mabavu mwisho wake fedheha na kumpoteza mpenzi.
Hivi mkuu na ukubwa wako umeshawahi kukutana na mwanamke anayekubali kuwa niko tayari kwa ngono njoo unigegede??
Si huwa tunapiga shoo hivyo hivyo kwa kulazimisha lazimisha tuu
Du miss chagga, unataka kutufanya mitaj, hapana bongo maana itakuw shida.Hii sheria ije tz basi
Ije tu nipate helaDu miss chagga, unataka kutufanya mitaj, hapana bongo maana itakuw shida.
Hahahahahaaaaa, itabid tuwe wapole maana hapo jamaa anasema atakama n mke wako wa ndoa ukimfanya bila ridhaa yako akienda kukushtak unampa chakeIje tu nipate hela