DJ Rommy Jones kwenye kashfa ya ubakaji Sweden

Aisee.....hii WCB inahitaji watu wenye akili....Ukimsoma huyu jamaa anakubali Rommy 'kabaka' ila alikuwa hajui sheria za wenzetu. Na kaenda mbali zaidi kusema walikuwa tayari kulipa $6000 lakini mdai alitaka $12,000!

Sikieni Watanzania wenzangu,huko ughaibuni demu akilewa ukampitia ujue 'umebaka'....demu kaja ghetto kwako 'ukambananisha' ili ugonge akikwambia NO wewe ukaendelea ujue 'umebaka'
 
Rommy ha ha ha kwa kupenda mteremko hajambo huyu nae ganda la ndizi tu siku nyingine atabakwa yeye
 
Labda ana kapepo kapenda ma-star! Na watu kama hao, wapo sana hata hapa TZ...
I can understand kupenda ma-Star lakini sio kwa style hii yakuaharibu heshima ya watu na wakati ulikua unashoboka mwenyewe..
 
Ni mtoto hadi abakwe....vidada vingine bhana a alishaona fursa ya pesa akaamua atumie mbinu za kutengeneza mazingira ya kudai kabakwa na kudai pesa......na kawanunulia vinywaji.....af walikuw Wanawasiliana tngu zamani.......sheria za huko bhana.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…