Hahaaa. Ila tuko vizuri bwana hatujataka kukaa bure. Nimeipenda sana hii yetu ya kujifunza.Ahahahaaaaaa uwiii,
Mie kalmati zilikuwa zinanisumbua kutengeneza shape lakini toka dj kwenda abroad sasahivi kalmati zangu zinatoka na shepu nzuri sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo muosha masufuria huko abroad harudi tena au ebu atuwekee na mapicha picha basi ujue watu watakufwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaa. Ila tuko vizuri bwana hatujataka kukaa bure. Nimeipenda sana hii yetu ya kujifunza.
Kweli Ney au kaenda kujilipua huko kwenye nchi za watu pic hawezi kututumia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lazima tujifunze jamani maana hapakuwa na notifications za hapa na pale, huku umekata unga hujautengeneza vzr utupie kwenye mafuta mara notification [emoji348] matokeo yake unatupia hivyo hivyo tuu [emoji23][emoji23]Hahaaa. Ila tuko vizuri bwana hatujataka kukaa bure. Nimeipenda sana hii yetu ya kujifunza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zanguLazima tujifunze jamani maana hapakuwa na notifications za hapa na pale, huku umekata unga hujautengeneza vzr utupie kwenye mafuta mara notification [emoji348] matokeo yake unatupia hivyo hivyo tuu [emoji23][emoji23]
Mara paap shepu kama ya kuku jamani eti kalmati
Sehemu zingine hawaruhusu kupiga picha ujue shunie [emoji23][emoji23]Kweli Ney au kaenda kujilipua huko kwenye nchi za watu pic hawezi kututumia
Kwahiyo huko abroad kwao kuna sehemu hawaruhusiwi kupiga picha etiiiSehemu zingine hawaruhusu kupiga picha ujue shunie [emoji23][emoji23]
Cheka tuu shunie, abroad imetusaidia kujua mapishi, dj heshima yako mkuu dis time ukienda tena huko ntajifunza kutengeneza kashata za maziwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman jamanCheka tuu shunie, abroad imetusaidia kujua mapishi, dj heshima yako mkuu dis time ukienda tena huko ntajifunza kutengeneza kashata za maziwa
Kwahiyo hata nkienda kwetu manyovu ni abroad?Popote ambapo huoni ndani kwako ni abroad [emoji28][emoji28]
Mie nahis hivyo, kama huamini muulize tuuKwahiyo huko abroad kwao kuna sehemu hawaruhusiwi kupiga picha etiii
Manyovu ni wapi?Kwahiyo hata nkienda kwetu manyovu ni abroad?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja akuje aisee nimuulizeMie nahis hivyo, kama huamini muulize tuu
Akaribie tu dada mana nilikuwa najiuliza na kujijibu mwenyewe.
Sakayo joanah Linamo ukhuty carbamazepine stable woman Numbisa Neybright hatujapiga soga siku nyingi jamani hebu muosha rungu akaribie tu kwa kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu wale hasa wababa,wakaka, vinjemba waliokua wanatusimanga kwenye threads za muosha masizi naona saiv wanamtupia vijembe dj. Interviews wanazipenda basi tu mashauzi yanawasumbua.
Team ubuyus tuliposusa nao wakasusa hahaha kuna watu na viatu
[emoji2][emoji2]kumbe abroad hakuna access ya JF.
Kweli kabisa. Ila umenichekesha. LolLazima tujifunze jamani maana hapakuwa na notifications za hapa na pale, huku umekata unga hujautengeneza vzr utupie kwenye mafuta mara notification [emoji348] matokeo yake unatupia hivyo hivyo tuu [emoji23][emoji23]
Mara paap shepu kama ya kuku jamani eti kalmati
Utawaweza hao mi kama ni mwanaume huwa namtoa kabisa kwenye kundi la wanaume.Halafu wale hasa wababa,wakaka, vinjemba waliokua wanatusimanga kwenye threads za muosha masizi naona saiv wanamtupia vijembe dj. Interviews wanazipenda basi tu mashauzi yanawasumbua.
Team ubuyus tuliposusa nao wakasusa hahaha kuna watu na viatu