DJ sepetu interviews

DJ sepetu interviews

Hahaaa. Ila tuko vizuri bwana hatujataka kukaa bure. Nimeipenda sana hii yetu ya kujifunza.
Lazima tujifunze jamani maana hapakuwa na notifications za hapa na pale, huku umekata unga hujautengeneza vzr utupie kwenye mafuta mara notification [emoji348] matokeo yake unatupia hivyo hivyo tuu [emoji23][emoji23]
Mara paap shepu kama ya kuku jamani eti kalmati
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu
 
Halafu wale hasa wababa,wakaka, vinjemba waliokua wanatusimanga kwenye threads za muosha masizi naona saiv wanamtupia vijembe dj. Interviews wanazipenda basi tu mashauzi yanawasumbua.
Team ubuyus tuliposusa nao wakasusa hahaha kuna watu na viatu
Akaribie tu dada mana nilikuwa najiuliza na kujijibu mwenyewe.

Sakayo joanah Linamo ukhuty carbamazepine stable woman Numbisa Neybright hatujapiga soga siku nyingi jamani hebu muosha rungu akaribie tu kwa kweli.
 
Halafu wale hasa wababa,wakaka, vinjemba waliokua wanatusimanga kwenye threads za muosha masizi naona saiv wanamtupia vijembe dj. Interviews wanazipenda basi tu mashauzi yanawasumbua.
Team ubuyus tuliposusa nao wakasusa hahaha kuna watu na viatu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lazima tujifunze jamani maana hapakuwa na notifications za hapa na pale, huku umekata unga hujautengeneza vzr utupie kwenye mafuta mara notification [emoji348] matokeo yake unatupia hivyo hivyo tuu [emoji23][emoji23]
Mara paap shepu kama ya kuku jamani eti kalmati
Kweli kabisa. Ila umenichekesha. Lol
 
Halafu wale hasa wababa,wakaka, vinjemba waliokua wanatusimanga kwenye threads za muosha masizi naona saiv wanamtupia vijembe dj. Interviews wanazipenda basi tu mashauzi yanawasumbua.
Team ubuyus tuliposusa nao wakasusa hahaha kuna watu na viatu
Utawaweza hao mi kama ni mwanaume huwa namtoa kabisa kwenye kundi la wanaume.

Hahaaa. Ila interview zilidoda jamaani lol.
 
Back
Top Bottom