Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahaaa. Ila tuko vizuri bwana hatujataka kukaa bure. Nimeipenda sana hii yetu ya kujifunza.Ahahahaaaaaa uwiii,
Mie kalmati zilikuwa zinanisumbua kutengeneza shape lakini toka dj kwenda abroad sasahivi kalmati zangu zinatoka na shepu nzuri sana