Hata huko huwa anapuyunga tu, ni pro-Russia na anti-west kwa kila kitu hadi demokrasia. Niliwahi kumsikia anasema Hitler alifanikiwa sana Ujerumani kwa sababu aliondoa riba na ushoga, nikathibitisha ni boksi tupu tu anayewatisha watu kwa sababu anajua Kingereza cha kuchovya kuwatafsiria mambo Waswahili wavivu hapa na pale.Huyu ni mzuri akichambua siasa za middle east na pan Africanism angeishia huko na kama huu ndio msimamo wake basi ajiandae kupoteza followers wengi sana wa media zake.
Huyo ni mpumbavuNimeona moja ya video mchambuzi wa hovyo anayeitwa DJ SMA anayedai kutumia facts na logic tu akiwa na hoja za ajabu ajabu sana akisema kuna viongozi wa makanisa walipewa pesa kutoka nchi za Nordic kuchochea vurugu, kuna watu walikamatwa Malawi wakiwa na dola milioni moja wanataka kuvuka mpaka kuingia Tanzania wakati viongozi wa chama kimoja wakiwa kwa wingi Mbeya na anatoa madai ya ajabu ya dereva wa Heche aliyefia lodge kukutwa na dawa za nguvu za kiume na kuna pesa alitaka kupewa baada ya kushtukia ulaji.
Mwisho anasema yeye sio mwanasiasa na hana chama chochote ila anawapenda viongozi wa upinzani aina ya Zitto na Mbowe na hajali katiba!
Hilo ni senge kama yalivyo ******* mengine, yeye aendelee kuwa chawa wa ccm na aishie hapo vinginevyo atapata dawa yake nguruwe Mwarabu Koko huyo.Nimeona moja ya video mchambuzi wa hovyo anayeitwa DJ SMA anayedai kutumia facts na logic tu akiwa na hoja za ajabu ajabu sana akisema kuna viongozi wa makanisa walipewa pesa kutoka nchi za Nordic kuchochea vurugu, kuna watu walikamatwa Malawi wakiwa na dola milioni moja wanataka kuvuka mpaka kuingia Tanzania wakati viongozi wa chama kimoja wakiwa kwa wingi Mbeya na anatoa madai ya ajabu ya dereva wa Heche aliyefia lodge kukutwa na dawa za nguvu za kiume na kuna pesa alitaka kupewa baada ya kushtukia ulaji.
Mwisho anasema yeye sio mwanasiasa na hana chama chochote ila anawapenda viongozi wa upinzani aina ya Zitto na Mbowe na hajali katiba!
Huyo jamaa ni KIAZI, AKILI NDOGO halafu ni MWENDAWAZIMU ambaye ameshindwa kujificha kwa muda mrefu.Nimeona moja ya video mchambuzi wa hovyo anayeitwa DJ SMA anayedai kutumia facts na logic tu akiwa na hoja za ajabu ajabu sana akisema kuna viongozi wa makanisa walipewa pesa kutoka nchi za Nordic kuchochea vurugu, kuna watu walikamatwa Malawi wakiwa na dola milioni moja wanataka kuvuka mpaka kuingia Tanzania wakati viongozi wa chama kimoja wakiwa kwa wingi Mbeya na anatoa madai ya ajabu ya dereva wa Heche aliyefia lodge kukutwa na dawa za nguvu za kiume na kuna pesa alitaka kupewa baada ya kushtukia ulaji.
Mwisho anasema yeye sio mwanasiasa na hana chama chochote ila anawapenda viongozi wa upinzani aina ya Zitto na Mbowe na hajali katiba!
Hilo ni senge kama yalivyo ******* mengine, yeye aendelee kuwa chawa wa ccm na aishie hapo vinginevyo atapata dawa yake nguruwe Mwarabu Koko huyo.
Akili za Demokrasia yenu zipo kinyumbuyumbu tu
shubamit zenu🤠🤠
Apinge CHADEMA ila asijifanye sijui hana chama au eti yeye sio mwanasiasa,Angeponda CCM Eti mungemuona mwenye Akili kubwaa kama
Nyu 🫎🫎✍️
Watu wanaopinga demokrasia huwa ni wapumbavu sana kwa sababu ukiwauliza hata hiyo demokrasia yenyewe Tanzania wanayofikri imewakwamisha iko wapi wanabaki wemeng'aa tu macho kama mjusi aliyebanwa na mlango...DJ Sma ni mwanaharakati mpinga demokrasia lakini amefichama kama Mchambuzi.
Maoni yako yanaeleweka. Maadam hajawaunga mkono wahuni LAZIMA utamshangaa.Nimeona moja ya video mchambuzi wa hovyo anayeitwa DJ SMA anayedai kutumia facts na logic tu akiwa na hoja za ajabu ajabu sana akisema kuna viongozi wa makanisa walipewa pesa kutoka nchi za Nordic kuchochea vurugu, kuna watu walikamatwa Malawi wakiwa na dola milioni moja wanataka kuvuka mpaka kuingia Tanzania wakati viongozi wa chama kimoja wakiwa kwa wingi Mbeya na anatoa madai ya ajabu ya dereva wa Heche aliyefia lodge kukutwa na dawa za nguvu za kiume na kuna pesa alitaka kupewa baada ya kushtukia ulaji.
Mwisho anasema yeye sio mwanasiasa na hana chama chochote ila anawapenda viongozi wa upinzani aina ya Zitto na Mbowe na hajali katiba!
Mtanisamehe. Kama kweli huyo anayejiita mwandishi kasema hayo, kagueni account yake ya miamala au ya simu au Bank, utapata jibu.Nimeona moja ya video mchambuzi wa hovyo anayeitwa DJ SMA anayedai kutumia facts na logic tu akiwa na hoja za ajabu ajabu sana akisema kuna viongozi wa makanisa walipewa pesa kutoka nchi za Nordic kuchochea vurugu, kuna watu walikamatwa Malawi wakiwa na dola milioni moja wanataka kuvuka mpaka kuingia Tanzania wakati viongozi wa chama kimoja wakiwa kwa wingi Mbeya na anatoa madai ya ajabu ya dereva wa Heche aliyefia lodge kukutwa na dawa za nguvu za kiume na kuna pesa alitaka kupewa baada ya kushtukia ulaji.
Mwisho anasema yeye sio mwanasiasa na hana chama chochote ila anawapenda viongozi wa upinzani aina ya Zitto na Mbowe na hajali katiba!