Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 13,667
- 21,296
Angeponda CCM Eti mungemuona mwenye Akili kubwaa kama
Nyu 🫎🫎✍️
Angeponda CCM Eti mungemuona mwenye Akili kubwaa kama
Nyu 🫎🫎✍️
🤣🤣🤣🤣Ni Yericko Nyerere aliyechangamka.
Siku hiyo media yake ingalikuwa downAngeponda CCM Eti mungemuona mwenye Akili kubwaa kama
Nyu 🫎🫎✍️
Ni mwana CCMAngeponda CCM Eti mungemuona mwenye Akili kubwaa kama
Nyu 🫎🫎✍️
Mbona wewe ndio nyumbu.Akili za Demokrasia yenu zipo kinyumbuyumbu tu
shubamit zenu🤠🤠
Wanawategemea waarabu Mavi kwenye nini? Yaani mwarabu hana chochote anapuyanga tuuuu, apa tanzania hata bihashara zenyewe zimemshinda kariakoo wamebaki kufuga majini tuuuWaarabu koko lkn ndio mnawategemea pakubwa kwenye nyanja kibao Tanzania pamoja na uchache wao!!!!
Wewe ndio unawategemea.Waarabu koko lkn ndio mnawategemea pakubwa kwenye nyanja kibao Tanzania pamoja na uchache wao!!!!
hilo tatizo lake binafsi hatuwezi kulizuia.Ana chuki sana na CHADEMA mpya na Lissu.
Dah yule Mwalimu google anajifanya anajua Kila kitu, wakati ni mweupe.Jamaa nilimsikiliza uchambuzi wa masuala ya middle east alikuwa vizuri.
Alipoanza siasa za kichawa nikawa sitazami tena video zake... Nilimdharau sana na kuona kumbe jamaa ni bogus tu..
Siasa za middle east namsikiliza George Galloway , Prof Marandi , Judge Napolitano, Canal Mcgregor , Scott Ritter n.k..
Nilishaacha kusikiliza wachambuzi njaa wa bongo wanaingiza siasa za kichawa..
Kuna yule anaitwa mwalimu google tv na miwani yake kama panzi naye ni chawa..
Labda Ibrahim Rahby, naona yupo vizuri naweza msikiliza...
Mkuu naona kama unasaidia kueneza ujinga wake. Ni hivi. Ukishakuwa na account na electronic device siku hizi, unaweza kuandika chochote. Watu kama hawa ili kuwafanya wapotee kabisa, ni kutofanya interraction yoyote nao. Usijibizane nao, usiwa-follow wala kueneza wanachoandika sehemu nyingine. Kumbuka malofa kama hawa wachotaka ni interaction na watu wengi kadiri iwezekanavyo, iwe positive au negative...Nimeona moja ya video mchambuzi wa hovyo anayeitwa DJ SMA anayedai kutumia facts na logic tu akiwa na hoja za ajabu ajabu sana akisema kuna viongozi wa makanisa walipewa pesa kutoka nchi za Nordic kuchochea vurugu, kuna watu walikamatwa Malawi wakiwa na dola milioni moja wanataka kuvuka mpaka kuingia Tanzania wakati viongozi wa chama kimoja wakiwa kwa wingi Mbeya na anatoa madai ya ajabu ya dereva wa Heche aliyefia lodge kukutwa na dawa za nguvu za kiume na kuna pesa alitaka kupewa baada ya kushtukia ulaji.
Mwisho anasema yeye sio mwanasiasa na hana chama chochote ila anawapenda viongozi wa upinzani aina ya Zitto na Mbowe na hajali katiba!
Yule hajui kitu , kama unataka kupata taarifa soma mkuu, au sikiliza wachambuzi wa nje...Dah yule Mwalimu google anajifanya anajua Kila kitu, wakati ni mweupe.
Tatizo wabongo wengi wavivu wa kusoma na Kingereza hakipandi kwa hiyo watu kama yeye wanaonekena wajanja na akili kubwa sana wakiwawasilishia watu kwa Kiswahili habari za kuokoteza na kuungaunga kutoka vyombo na watu mbalimbali.Yule hajui kitu , kama unataka kupata taarifa soma mkuu, au sikiliza wachambuzi wa nje...
Hoja siyo kuponda au kusifia CCM.Angeponda CCM Eti mungemuona mwenye Akili kubwaa kama
Nyu 🫎🫎✍️
Hata siasa za Middle EastHuyu ni mzuri akichambua siasa za middle east na pan Africanism angeishia huko na kama huu ndio msimamo wake basi ajiandae kupoteza followers wengi sana wa media zake.
Acha uongo,hata siasa za Middle East anaokoteza okoteza habari kwenye media ambazo zinafadhiliwa na Qatar,anaunganunga na kujifanya mchambuzi.Anapotoshanmno.Huyu ni mzuri akichambua siasa za middle east na pan Africanism angeishia huko na kama huu ndio msimamo wake basi ajiandae kupoteza followers wengi sana wa media zake.