DJ SMA mchambuzi uchwara na chawa anafadhiliwa na nani ?

Jamaa nilimsikiliza uchambuzi wa masuala ya middle east alikuwa vizuri.

Alipoanza siasa za kichawa nikawa sitazami tena video zake... Nilimdharau sana na kuona kumbe jamaa ni bogus tu..

Siasa za middle east namsikiliza George Galloway , Prof Marandi , Judge Napolitano, Canal Mcgregor , Scott Ritter n.k..

Nilishaacha kusikiliza wachambuzi njaa wa bongo wanaingiza siasa za kichawa..

Kuna yule anaitwa mwalimu google tv na miwani yake kama panzi naye ni chawa..

Labda Ibrahim Rahby, naona yupo vizuri naweza msikiliza...
 
Waarabu koko lkn ndio mnawategemea pakubwa kwenye nyanja kibao Tanzania pamoja na uchache wao!!!!
Wanawategemea waarabu Mavi kwenye nini? Yaani mwarabu hana chochote anapuyanga tuuuu, apa tanzania hata bihashara zenyewe zimemshinda kariakoo wamebaki kufuga majini tuuu
 
Dah yule Mwalimu google anajifanya anajua Kila kitu, wakati ni mweupe.
 
Mkuu naona kama unasaidia kueneza ujinga wake. Ni hivi. Ukishakuwa na account na electronic device siku hizi, unaweza kuandika chochote. Watu kama hawa ili kuwafanya wapotee kabisa, ni kutofanya interraction yoyote nao. Usijibizane nao, usiwa-follow wala kueneza wanachoandika sehemu nyingine. Kumbuka malofa kama hawa wachotaka ni interaction na watu wengi kadiri iwezekanavyo, iwe positive au negative...
 
Yule hajui kitu , kama unataka kupata taarifa soma mkuu, au sikiliza wachambuzi wa nje...
Tatizo wabongo wengi wavivu wa kusoma na Kingereza hakipandi kwa hiyo watu kama yeye wanaonekena wajanja na akili kubwa sana wakiwawasilishia watu kwa Kiswahili habari za kuokoteza na kuungaunga kutoka vyombo na watu mbalimbali.
 
Angeponda CCM Eti mungemuona mwenye Akili kubwaa kama
Nyu 🫎🫎✍️
Hoja siyo kuponda au kusifia CCM.

Hoja ni kuyaona mambo iama yalivyo.

CCM wamefanya maamuzi ya kibwege na kipumbavu mpaka yamefikia hatua ya KULETA MAUAJI YA KUTISHA.

Hakuja BEBERU aliyemuweka Lissu Jela, kuua wajawazito, kuteka kina Polepole wala Chaula.

Hakuna BEBERU aliyeshika bunduki kuja kuua waoa KUTEKA watu na kuiba KURA.

Hakuna beberu aliyekuja kuiba MAITI za watu mliyowaua na kwenda kuwazika kama MIZOGA kwenye makaburi ya HALAIKI.

Acheni huu UPUMBAVU.
 
Huyu ni mzuri akichambua siasa za middle east na pan Africanism angeishia huko na kama huu ndio msimamo wake basi ajiandae kupoteza followers wengi sana wa media zake.
Hata siasa za Middle East
Huyu ni mzuri akichambua siasa za middle east na pan Africanism angeishia huko na kama huu ndio msimamo wake basi ajiandae kupoteza followers wengi sana wa media zake.
Acha uongo,hata siasa za Middle East anaokoteza okoteza habari kwenye media ambazo zinafadhiliwa na Qatar,anaunganunga na kujifanya mchambuzi.Anapotoshanmno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…