Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Steve kapambana sana na FigoShow ya figo endelea tu hivi hivi kusikia kwa wenzako au endelea kuhadithiwa ila siyo ya kukukuta siyo wewe tu......hata mmoja wa wanafamilia yako.
Inatesa,inatia umaskini zaidi sana inagawa sana familia zetu sisi maskini,Mungu atuepushe na hili balaa na marehemu apate pumziko jema.
Unaropoka sababu ni mzimandg, wewe ishi vile unavyoweza kuishi. mengine ni ziada tu ya kusogeza siku.
ukifika wakati wako wa kuhitajika, hata ufanye nini,utahitajika tu.
Yale matibabu ya figo ni nyoko. Very costfulShow ya figo endelea tu hivi hivi kuisikia kwa wenzako au endelea kuhadithiwa ila siyo ya kukukuta siyo wewe tu......hata mmoja wa wanafamilia yako.
Inatesa,inatia umaskini zaidi sana inazigawa sana familia zetu sisi maskini,Mungu atuepushe na hili balaa na marehemu apate pumziko jema.
unaujuaji wa kijinga sanaVipi Ugonjwa uliomuua ndiyo huo uliomfanya hili Shati alilolivaa hapa Pichani limvae kwa Kukonda ( Kupungua ) Kwake Kimaumbile au?
R.I P Dj Steve B.
Bora hizi pombe za ngano kuliko spirits, spirits zinachoma kabisa.Sahv mtungi nmepunguza kwa kiasi kikubwa sana....na naelekea kuacha kabisa
Ova
Na vile NHIF zimekataa ishughulikiaShow ya figo endelea tu hivi hivi kuisikia kwa wenzako au endelea kuhadithiwa ila siyo ya kukukuta siyo wewe tu......hata mmoja wa wanafamilia yako.
Inatesa,inatia umaskini zaidi sana inazigawa sana familia zetu sisi maskini,Mungu atuepushe na hili balaa na marehemu apate pumziko jema.
Dah,legends hao. ..dahApumzike kwa amaniView attachment 2704111
Ametoa maoni yake.wewe jamaa sio mzima kichwani, hivi unaweza vipi kumkejeli marehemu namna hiyo?
Na usiye amini Mungu,unaamini kuna Peace baada ya kufa?Dah,
Steeeve,
One of the coolest dudes hands down!
RIP bro.