TANZIA DJ Steve B afariki dunia

TANZIA DJ Steve B afariki dunia

Show ya figo endelea tu hivi hivi kusikia kwa wenzako au endelea kuhadithiwa ila siyo ya kukukuta siyo wewe tu......hata mmoja wa wanafamilia yako.

Inatesa,inatia umaskini zaidi sana inagawa sana familia zetu sisi maskini,Mungu atuepushe na hili balaa na marehemu apate pumziko jema.
Steve kapambana sana na Figo
 
Show ya figo endelea tu hivi hivi kuisikia kwa wenzako au endelea kuhadithiwa ila siyo ya kukukuta siyo wewe tu......hata mmoja wa wanafamilia yako.

Inatesa,inatia umaskini zaidi sana inazigawa sana familia zetu sisi maskini,Mungu atuepushe na hili balaa na marehemu apate pumziko jema.
Yale matibabu ya figo ni nyoko. Very costful
 
Show ya figo endelea tu hivi hivi kuisikia kwa wenzako au endelea kuhadithiwa ila siyo ya kukukuta siyo wewe tu......hata mmoja wa wanafamilia yako.

Inatesa,inatia umaskini zaidi sana inazigawa sana familia zetu sisi maskini,Mungu atuepushe na hili balaa na marehemu apate pumziko jema.
Na vile NHIF zimekataa ishughulikia
Hebu fikiria kutoa zaidi ya 500,000 kila wiko kwa ajili ya dialysis.
Inakubidi angalau muwe na mapato ya zaidi ya 5mil kwa mwezi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Apumzike kwa amani
B2437092-2981-4B6E-9CD7-102F7514C583.jpeg
 
Back
Top Bottom