TANZIA DJ Steve B afariki dunia

Unaropoka sababu ni mzima

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
nilichoandika ndio uhalisia. last week nimemzika colleague ambaye alifariki ghalfa bila kuugua.

the day bofore tulishindanae ofisini vizuri tu tukicheka na kupiga story za hapa na pale. siku iliyofata napigiwa simu na ndg yake kwamba jamaa kafia usingizini. hakuwa na record ya kuugua magonjwa makubwa.

so punguza hofu, kifo kipo tu hakikwepeki. hata unywe maji mengi ili kuepusha maradhi ya figo, utakufa tu.
 
Figo tena![emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ni mtu mzima na unanizidi miaka 10+ ila huelewi kuwa kufa usingizini au ghafla ka si mzee ni dalili na kuwa ulikuwa mgonjwa.

Vifo vyote vina ugonjwa ndani yake kasoro ajali

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
kuna wakati fulani staff wa clouds media waliingiza siasa kuhusu maradhi ya steve B wakimlaumu DJ JD kwa kwenda kumtembelea na kupiganae picha. sasa sijui huu msiba wataubeba wao au familia ya marehemu?.
Hao clouds walishamsaidia chochote zaidi ya kutangaza kuwa anaumwa...DJ JD amejitoa sana kumsaidia ikiwemo kukusanya pesa toka kwa wadau wakamnunulia bajaji na kumpa pesa za kumsaidia..
 
Rest in peace brother. Nakumbuka kukutana na wewe first time kwenye maonyesho ya 77 miaka ya 90 ukiwa young and talented dj na kila mtu alijua ungekuja kusumbua kwa uwezo wako. Kweli ulikuja kuwa dj mkubwa na very top in Tanzania.

Pumzika kwa amani kaka [emoji120]
 
Dah[emoji24]

Innalillah wainnaillah rajiuun.

Ee Mungu nijaalie mwisho mwema.
 
Siku hii DJ John Dilinga ndio alimtembela .Dillinga mtu poa na ana roho nzuri sana ..maana alichanga pesa kutoka kwa wadau wakampa pesa ya kutumia na wakamnunulia bajaji ili imuingizie kipato na kumsaidia kumpeleka hospitali
Nimesitisha kutoa pole, natoa pongezi kwa huyo DJ JD kumsaidia ndugu yake. Alifanya jambo la maana sana na la msingi, hakuwa na hela ila jitihada zake zilimsaidia mwenye mahitaji
 
Chief mdogo wangu alikufa akiwa na miaka 17 kwa figo kufeli ilhali hajawahi kunywa pombe tokea azaliwe

Figo kuzingua sio pombe pekee yake kuna vitu vingi vinachangia
 
Rip Steve....
 
Chief mdogo wangu alikufa akiwa na miaka 17 kwa figo kufeli ilhali hajawahi kunywa pombe tokea azaliwe

Figo kuzingua sio pombe pekee yake kuna vitu vingi vinachangia
Rudia soma nilivyoandika.
Nimeandika pia utumiaji wa kemikali, dawa etc.
Hata hivyo gharama za kusafisha sasa ni 480,000 kila wiki

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…