GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kakoroge Sumu ili Unywe na Ufe Oky?unaujuaji wa kijinga sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakoroge Sumu ili Unywe na Ufe Oky?unaujuaji wa kijinga sana
Ataelewa wapi huyo msukuma wa Namanyele huko.Oyaaa, pigo za enzi zile hizo mwamba tulikuwa tunapiga bog8 zetu hizo fashion ikuvae
Kuna peace baada ya kufa kwa sababu hakuna kusumbuka na maisha tena.Na usiye amini Mungu,unaamini kuna Peace baada ya kufa?
nilichoandika ndio uhalisia. last week nimemzika colleague ambaye alifariki ghalfa bila kuugua.
Nipo nyuma yako mkuuAmetoa maoni yake.
Wewe ni nani wa kuamua maoni yapi ni point, yapi yanafaa?
Figo tena![emoji24][emoji24]Moja kati ya Ma-DJ ambao waliwahi kufanya vizuri katika muziki wa Bongo Flava hapa nchini akifanya kazi Clouds FM Radio, Steve Mdoe a.k.a "DJ Steve B" "DJ Skills" amefariki duni jioni ya leo Julai 31, 2023 katika Hospitali ya Muhimbili Mloganzila alipokuwa akipatiwa matibabu.
Kwa muda mrefu DJ Steve B alikuwa akiugua maradhi ya Figo.
Inna lillahi wa inna ilayhi rajiun.
View attachment 2704041
kuna wakati fulani staff wa clouds media waliingiza siasa kuhusu maradhi ya steve B wakimlaumu DJ JD kwa kwenda kumtembelea na kupiganae picha. sasa sijui huu msiba wataubeba wao au familia ya marehemu?.Apumzike kwa amaniView attachment 2704111
We ni mtu mzima na unanizidi miaka 10+ ila huelewi kuwa kufa usingizini au ghafla ka si mzee ni dalili na kuwa ulikuwa mgonjwa.nilichoandika ndio uhalisia. last week nimemzika colleague ambaye alifariki ghalfa bila kuugua.
the day bofore tulishandae ofisini vizuri tu tukicheka na kupiga story za hapa na pale. siku iliyofata napigiwa simu na ndg yake kwamba jamaa kafia usingizini. hakuwa na record ya kuugua magonjwa makubwa.
so punguza hofu, kifo kipo tu hakikwepeki. hata unywe maji mengi ili kuepusha maradhi ya figo, utakufa tu.
Siku hii DJ John Dilinga ndio alimtembela .Dillinga mtu poa na ana roho nzuri sana ..maana alichanga pesa kutoka kwa wadau wakampa pesa ya kutumia na wakamnunulia bajaji ili imuingizie kipato na kumsaidia kumpeleka hospitaliApumzike kwa amaniView attachment 2704111
Hao clouds walishamsaidia chochote zaidi ya kutangaza kuwa anaumwa...DJ JD amejitoa sana kumsaidia ikiwemo kukusanya pesa toka kwa wadau wakamnunulia bajaji na kumpa pesa za kumsaidia..kuna wakati fulani staff wa clouds media waliingiza siasa kuhusu maradhi ya steve B wakimlaumu DJ JD kwa kwenda kumtembelea na kupiganae picha. sasa sijui huu msiba wataubeba wao au familia ya marehemu?.
Dah[emoji24]Moja kati ya Ma-DJ ambao waliowahi kufanya vizuri katika muziki wa Bongo Flava hapa nchini akifanya kazi Clouds FM Radio, Steve Mdoe a.k.a "DJ Steve B" "DJ Skills" amefariki duni jioni ya leo Julai 31, 2023 katika Hospitali ya Muhimbili Mloganzila alipokuwa akipatiwa matibabu.
Kwa muda mrefu DJ Steve B alikuwa akiugua maradhi ya Figo.
Inna lillahi wa inna ilayhi rajiun.
View attachment 2704041
=============
Steven Mdoe maarufu kama DJ Steve B amefariki dunia leo katika Hospitalini ya Mloganzila jijini Dar es salaam huku chanzo kikitajwa kuwa ni kupanda kwa Shinikizo la Damu.
Amstrong Mdoe ambaye ni Kaka wa Marehemu amesema kuwa Steve B ambaye alikuwa akisumbuliwa na figo toka mwaka 2019 alipelekwa Hospitali na kuwekwa Chumba cha Uangalizi Maalumu (ICU) baada ya Kupata Shinikizo la Juu la Damu na baadaye Shinikizo hilo lilipanda zaidi na kumsababishia kupoteza fahamu kwa siku tatu kabla ya kufariki.
"Steve B alipoteza fahamu kwa siku 3 ambapo jioni ya leo saa 10 akafariki, alikuwa na tatizo la Figo kwa miaka minne tangu 2019 lakini Figo sio chanzo cha Kifo chake, taratibu za mazishi bado tunazungumza tupange utaratibu lakini tunapokea rambirambi kwa namba 0678689383"
"Steve hakuwa na Mke wala hajaacha Mke na wala Mtoto, hatuna taarifa za Mtoto wake"
Dj Steve b ni moja ya nembo ya Clouds fm, wampe heshima yake.kuna wakati fulani staff wa clouds media waliingiza siasa kuhusu maradhi ya steve B wakimlaumu DJ JD kwa kwenda kumtembelea na kupiganae picha. sasa sijui huu msiba wataubeba wao au familia ya marehemu?.
Nataman ungekua mwanaume kamili tatizo ndio hivo tena.Vipi Ugonjwa uliomuua ndiyo huo uliomfanya hili Shati alilolivaa hapa Pichani limvae kwa Kukonda ( Kupungua ) Kwake Kimaumbile au?
R.I P Dj Steve B.
Nimesitisha kutoa pole, natoa pongezi kwa huyo DJ JD kumsaidia ndugu yake. Alifanya jambo la maana sana na la msingi, hakuwa na hela ila jitihada zake zilimsaidia mwenye mahitajiSiku hii DJ John Dilinga ndio alimtembela .Dillinga mtu poa na ana roho nzuri sana ..maana alichanga pesa kutoka kwa wadau wakampa pesa ya kutumia na wakamnunulia bajaji ili imuingizie kipato na kumsaidia kumpeleka hospitali
Chief mdogo wangu alikufa akiwa na miaka 17 kwa figo kufeli ilhali hajawahi kunywa pombe tokea azaliweTupunguze utumiaji wa kemikali, pombe
Tunywe maji mengi ili kulinda afya za figo zetu.
Figo zikiugua utapata tabu sana na huenda ukafa kutokana na kukosa la kubadilisha au gharama za kusafisha kila wiki.
Tutunze afya za figo zetu, pombe sio dili
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Rip Steve....Moja kati ya Ma-DJ ambao waliowahi kufanya vizuri katika muziki wa Bongo Flava hapa nchini akifanya kazi Clouds FM Radio, Steve Mdoe a.k.a "DJ Steve B" "DJ Skills" amefariki duni jioni ya leo Julai 31, 2023 katika Hospitali ya Muhimbili Mloganzila alipokuwa akipatiwa matibabu.
Kwa muda mrefu DJ Steve B alikuwa akiugua maradhi ya Figo.
Inna lillahi wa inna ilayhi rajiun.
View attachment 2704041
=============
Steven Mdoe maarufu kama DJ Steve B amefariki dunia leo katika Hospitalini ya Mloganzila jijini Dar es salaam huku chanzo kikitajwa kuwa ni kupanda kwa Shinikizo la Damu.
Amstrong Mdoe ambaye ni Kaka wa Marehemu amesema kuwa Steve B ambaye alikuwa akisumbuliwa na figo toka mwaka 2019 alipelekwa Hospitali na kuwekwa Chumba cha Uangalizi Maalumu (ICU) baada ya Kupata Shinikizo la Juu la Damu na baadaye Shinikizo hilo lilipanda zaidi na kumsababishia kupoteza fahamu kwa siku tatu kabla ya kufariki.
"Steve B alipoteza fahamu kwa siku 3 ambapo jioni ya leo saa 10 akafariki, alikuwa na tatizo la Figo kwa miaka minne tangu 2019 lakini Figo sio chanzo cha Kifo chake, taratibu za mazishi bado tunazungumza tupange utaratibu lakini tunapokea rambirambi kwa namba 0678689383"
"Steve hakuwa na Mke wala hajaacha Mke na wala Mtoto, hatuna taarifa za Mtoto wake"
Naona mnataka kuanza ligi mbadili lengo la uziNa usiye amini Mungu,unaamini kuna Peace baada ya kufa?
Rudia soma nilivyoandika.Chief mdogo wangu alikufa akiwa na miaka 17 kwa figo kufeli ilhali hajawahi kunywa pombe tokea azaliwe
Figo kuzingua sio pombe pekee yake kuna vitu vingi vinachangia