Greater thinker
JF-Expert Member
- Sep 12, 2011
- 286
- 38
Ebu tupia kura yako na 7bu zako nan mkal?na ni cku gan alikurusha kwa ngoma?aidha club au redion..yoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unalinganisha brazil na azm? DJ JD ni mkongwe hajisifu wala hajasifiwa lakini ni mkali ile mbaya!Ebu tupia kura yako na 7bu zako nan mkal?na ni cku gan alikurusha kwa ngoma?aidha club au redion..yoo
Mkuu kwasasa Dj Steve b anaaminika ni dj bora lakini tukumbuke Dj JD kwasasa hayupo kwenye game kivile ila Dj JD ni dj wa kukumbukwa daima kutokana uwezo wake mkubwa wa kupiga muziki,Dj JD ana vitu vingi sana ambavyo Steve B hana! Labda cha ziada kwa steve b ni uwezo mkubwa wa kutumia hizi machine za siku hizi za CD sababu ni za wakati wake na muda wote anazitumia while Dj JD ni miaka mingi hayupo kwenye game moja kwa moja.funga kazi ni kwamba Dj JD ana uwezo mkubwa mno kuliko Steve B ktk kutumia LP! Hata marekani mpaka kesho Turn tables ndio kila kitu!! Lakini u dj sio kupiga mziki tu ni pamoja na kujua sound system! Dj JD alipokuwa akíingia studio za E.A enzi hizo mpaka sound ya radio ilikuwa ina inachange! Dj JD ni mtaalamu wa Sound system na anaweza kufunga muziki wowote mwenyewe! Upande wa ku entertain nafikiri hata Dj Steve B anajua kuwa hakuna dj entertainer kama JD tanzania nzima ana mtiririko wa kupiga (mixing) ya aina yake! Yaani muziki unapenya hadi kwenye damu jinsi anavyopanga nyimbo! Kwahiyo tukichambua kila kipengele utaona Dj JD ana vitu vingi ambavyo madj wengi hawana! Najua huu mjadala umeibuka sababu ya Dj JD kushirikishwa kwenye tamasha la Anti virus na anao mashabiki wengi sana hivyo some people from other side will try to turnish his image but the guy is Everlasting Dj JD!! Lakini pia tukumbuke Dj Steve B na Dj JD ni marafiki wakubwa!!Ebu tupia kura yako na 7bu zako nan mkal?na ni cku gan alikurusha kwa ngoma?aidha club au redion..yoo
Ebu tupia kura yako na 7bu zako nan mkal?na ni cku gan alikurusha kwa ngoma?aidha club au redion..yoo
Mkuu kwasasa Dj Steve b anaaminika ni dj bora lakini tukumbuke Dj JD kwasasa hayupo kwenye game kivile ila Dj JD ni dj wa kukumbukwa daima kutokana uwezo wake mkubwa wa kupiga muziki,Dj JD ana vitu vingi sana ambavyo Steve B hana! Labda cha ziada kwa steve b ni uwezo mkubwa wa kutumia hizi machine za siku hizi za CD sababu ni za wakati wake na muda wote anazitumia while Dj JD ni miaka mingi hayupo kwenye game moja kwa moja.funga kazi ni kwamba Dj JD ana uwezo mkubwa mno kuliko Steve B ktk kutumia LP! Hata marekani mpaka kesho Turn tables ndio kila kitu!! Lakini u dj sio kupiga mziki tu ni pamoja na kujua sound system! Dj JD alipokuwa akíingia studio za E.A enzi hizo mpaka sound ya radio ilikuwa ina inachange! Dj JD ni mtaalamu wa Sound system na anaweza kufunga muziki wowote mwenyewe! Upande wa ku entertain nafikiri hata Dj Steve B anajua kuwa hakuna dj entertainer kama JD tanzania nzima ana mtiririko wa kupiga (mixing) ya aina yake! Yaani muziki unapenya hadi kwenye damu jinsi anavyopanga nyimbo! Kwahiyo tukichambua kila kipengele utaona Dj JD ana vitu vingi ambavyo madj wengi hawana! Najua huu mjadala umeibuka sababu ya Dj JD kushirikishwa kwenye tamasha la Anti virus na anao mashabiki wengi sana hivyo some people from other side will try to turnish his image but the guy is Everlasting Dj JD!! Lakini pia tukumbuke Dj Steve B na Dj JD ni marafiki wakubwa!!
I
Ebu tupia kura yako na 7bu zako nan mkal?na ni cku gan alikurusha kwa ngoma?aidha club au redion..yoo
hakunaga dj km dj JD. Labda useme dj mafuvu vs dj stev b!
wabongo wanatishwa sana na jingle za redioni!mikwara hii ya jingles ilimfanya hata majizzo aonekane DJ mkali ila kama unajua mziki si wa redioni au haya maconcert yao!Steve B mweupe sana!kuna mtu anaitwa PETER MO huyo ni bad news kwa kizazi hiki......
Ebu tupia kura yako na 7bu zako nan mkal?na ni cku gan alikurusha kwa ngoma?aidha club au redion..yoo
Mkuu mtoa hoja mimi binafsi nahisi umemkosea DJ JD pamoja na mimi pia. Kwani JD ni DJ na huyo Cameron wa Clouds ni Music Selector. So sioni umewezaje ku-compare Madiba na Jk?