Dj Steve B Vs Dj JD

Dj Steve B Vs Dj JD

Greater thinker

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2011
Posts
286
Reaction score
38
Ebu tupia kura yako na 7bu zako nan mkal?na ni cku gan alikurusha kwa ngoma?aidha club au redion..yoo
 
Mkuu kwasasa Dj Steve b anaaminika ni dj bora lakini tukumbuke Dj JD kwasasa hayupo kwenye game kivile ila Dj JD ni dj wa kukumbukwa daima kutokana uwezo wake mkubwa wa kupiga muziki,Dj JD ana vitu vingi sana ambavyo Steve B hana! Labda cha ziada kwa steve b ni uwezo mkubwa wa kutumia hizi machine za siku hizi za CD sababu ni za wakati wake na muda wote anazitumia while Dj JD ni miaka mingi hayupo kwenye game moja kwa moja.funga kazi ni kwamba Dj JD ana uwezo mkubwa mno kuliko Steve B ktk kutumia LP! Hata marekani mpaka kesho Turn tables ndio kila kitu!! Lakini u dj sio kupiga mziki tu ni pamoja na kujua sound system! Dj JD alipokuwa akíingia studio za E.A enzi hizo mpaka sound ya radio ilikuwa ina inachange! Dj JD ni mtaalamu wa Sound system na anaweza kufunga muziki wowote mwenyewe! Upande wa ku entertain nafikiri hata Dj Steve B anajua kuwa hakuna dj entertainer kama JD tanzania nzima ana mtiririko wa kupiga (mixing) ya aina yake! Yaani muziki unapenya hadi kwenye damu jinsi anavyopanga nyimbo! Kwahiyo tukichambua kila kipengele utaona Dj JD ana vitu vingi ambavyo madj wengi hawana! Najua huu mjadala umeibuka sababu ya Dj JD kushirikishwa kwenye tamasha la Anti virus na anao mashabiki wengi sana hivyo some people from other side will try to turnish his image but the guy is Everlasting Dj JD!! Lakini pia tukumbuke Dj Steve B na Dj JD ni marafiki wakubwa!!
I
 
Steve b ni dj mzuri bt jd ni mkali zaidi coz kuna siku diamond wakina steve walikuwa wanashindana na madj wa kenya i think watakuwa ogopa jd alitoka kwa mashabiki akaja kuokoa jahazi so steve ni level ya dj mafuvu makay dj labda na majizoooo
 
Mkuu kwasasa Dj Steve b anaaminika ni dj bora lakini tukumbuke Dj JD kwasasa hayupo kwenye game kivile ila Dj JD ni dj wa kukumbukwa daima kutokana uwezo wake mkubwa wa kupiga muziki,Dj JD ana vitu vingi sana ambavyo Steve B hana! Labda cha ziada kwa steve b ni uwezo mkubwa wa kutumia hizi machine za siku hizi za CD sababu ni za wakati wake na muda wote anazitumia while Dj JD ni miaka mingi hayupo kwenye game moja kwa moja.funga kazi ni kwamba Dj JD ana uwezo mkubwa mno kuliko Steve B ktk kutumia LP! Hata marekani mpaka kesho Turn tables ndio kila kitu!! Lakini u dj sio kupiga mziki tu ni pamoja na kujua sound system! Dj JD alipokuwa akíingia studio za E.A enzi hizo mpaka sound ya radio ilikuwa ina inachange! Dj JD ni mtaalamu wa Sound system na anaweza kufunga muziki wowote mwenyewe! Upande wa ku entertain nafikiri hata Dj Steve B anajua kuwa hakuna dj entertainer kama JD tanzania nzima ana mtiririko wa kupiga (mixing) ya aina yake! Yaani muziki unapenya hadi kwenye damu jinsi anavyopanga nyimbo! Kwahiyo tukichambua kila kipengele utaona Dj JD ana vitu vingi ambavyo madj wengi hawana! Najua huu mjadala umeibuka sababu ya Dj JD kushirikishwa kwenye tamasha la Anti virus na anao mashabiki wengi sana hivyo some people from other side will try to turnish his image but the guy is Everlasting Dj JD!! Lakini pia tukumbuke Dj Steve B na Dj JD ni marafiki wakubwa!!
I

wabongo wanatishwa sana na jingle za redioni!mikwara hii ya jingles ilimfanya hata majizzo aonekane DJ mkali ila kama unajua mziki si wa redioni au haya maconcert yao!Steve B mweupe sana!kuna mtu anaitwa PETER MO huyo ni bad news kwa kizazi hiki......
 
jd ni mkali kuliko steve ingawa steve naye ni mkali kuliko wengine wengi
 
Ebu tupia kura yako na 7bu zako nan mkal?na ni cku gan alikurusha kwa ngoma?aidha club au redion..yoo

dj jd hana wa kufananishwa nae hapa east africa...uyo steve b kampambanishe na kina dj choka ndio level zake
 
mara ya mwisho Dj Jd nakumbuka alifunika sana wakati triple A club arusha inafunguliwa kwa mara ya kwanza.nadhani ilikuwa mwaka 2003/2004.
 
Unamlinganisha kati ya Zidane na Runyamila? Haaaaa Stivie ashindanishe na kina mafuvu au majizzo na si DJ JD.
 
wabongo wanatishwa sana na jingle za redioni!mikwara hii ya jingles ilimfanya hata majizzo aonekane DJ mkali ila kama unajua mziki si wa redioni au haya maconcert yao!Steve B mweupe sana!kuna mtu anaitwa PETER MO huyo ni bad news kwa kizazi hiki......

itakuwa ni wewe nini..
 
natamani niweke hapa mix tape moja ya DJ JD ya zamani kidogo(nafikiri mwaka 99) ya JD's Explosions mnyooshe mikono kabisa kwa huyu jamaa jinsi ngoma zilivyopigwa humo!!
 
Mkuu mtoa hoja mimi binafsi nahisi umemkosea DJ JD pamoja na mimi pia. Kwani JD ni DJ na huyo Cameron wa Clouds ni Music Selector. So sioni umewezaje ku-compare Madiba na Jk?

Kweli mdau huyo dj stv b aka dj mwiziii labda umfananishe na dj fekiiiiii(fetty)
 
Back
Top Bottom