Dj wa JamiiForums tafadhali Sisi wana Simba SC tulioko hapa JamiiForums tunakuomba utuwekee ule Wimbo wenye Kiitikio cha Wivuuuuuuu........Wivuuuuuuuu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nitafurahi sana kwani kwa Kipindi hiki huo Wimbo unavutia sana Kuuimba hasa ukizingatia anayeona Wivu baada ya Wiki Moja na Nusu ijayo atakuwa Mkoani NBC Premier League halafu yule Mkali wa International Games and Competitions akiwa zake ama Afrika Kusini au Ivory Coast akiwa busy Kuwatafutia nafasi zingine Wachovu wengine Watatu kutoka Tanzania kwa Msimu ujao wa Mashindano ya CAFCL na CAFCC.

Wivuuuuuuu.....wanaona Wivuuuuuuu.....Wivuuuuuuu....wamerudi Nyumbani Wivuuuuuu Gusa Achia hadi Vyurani.......
 
Attachments

  • cfa8b788-414c-4e6f-a8de-7105306a67c3.jpeg
    cfa8b788-414c-4e6f-a8de-7105306a67c3.jpeg
    158.6 KB · Views: 3
DJ angusha goma la WIVUUU ila usifanye ile chiki-chikichi maana huwa inaniumiza masikiooo
 
Back
Top Bottom