Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Itazuia maumivu wa mwiko wenu ule wa daima mbele?RAGE ALITAKIWA AWE NA KANISA, KWAN KASHNDA SIMBA AU
Kwa mbobevu haji manara wa mzee toziSupu ya kupoza maumivu ya kutatuliwa linda ni wapi
Daima MbeleYanga hii unaifungaje silla sasa
Nyuma MWIKODaima Mbele
Itumieni vema furaha ya leo, huenda msimu ukaisha bila kuipata tena.Ubaya ubwela, wamefanyiwa u P Didy mbaya sana leo, kudadeki
Mkuu unamaneno ya kejeli walahi ππItumieni vema furaha ya leo, huenda msimu ukaisha bila kuipata tena.
Sio kejeli ni reality mkuu.Mkuu unamaneno ya kejeli walahi
Kwamba simba π¦ hatutofurahi tena??Sio kejeli ni reality mkuu.
Pale pale jangwaniSupu ya kupoza maumivu ya kutatuliwa linda ni wapi
Hamna timu ya kuwafurahisha, ndo maana mnategemea majirani wafanye kitu.Kwamba simba hatutofurahi tena??
Tulizoea kuona reply za wanasimba zikiwa zimenuna bt leo zinacheka vibaya mno.P.didy am pididy young African again