Djibril Sulla AIP Didy Yanga

Djibril Sulla AIP Didy Yanga

IMG_4166.jpeg
 
Hahahahaha Kila bikra itavunjwa tu.
Sasa league imechangamka.

Ila kwa match ya leo ilikuwa ngumu kwa pande zote ila kitendo cha Ibrahim Abdulla Bacca kupata kadi kimeigharimu yanga na kuifanya Azam itawale mchezo wakiwa na faida ya Mchezaji mmoja, pia ukuta wa yanga si mzuri nimegundua yanga beki ni wawili tu Yao Kouasi na Ibrahim Abdulla Bacca hao wengine ni jaza uwanja tyu 😂.
 
Back
Top Bottom