Djibril Sylla: Kutinga hatua ya robo fainali mara kwa mara kumeifanya Simba kuwa klabu maarufu Afrika

Lupweko

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
23,566
Reaction score
24,891
Wakati wengine wakibeza kitendo cha Simba cha miaka kama mitano ya hivi karibuni kuishia hatua ya robo fainal ya michuano mbalimbali ya Afrika maarufu kama 'mwakarobo' (CL x3, CC x1 na AFL x1), kumbe jambo hilo kwa wachezaji wenyewe wa nchi mbalimbali za Afrika (sio washabiki wa Bongo) wanaliona positive sana na Simba ni kama timu iliyopiga hatua kubwa na inawavutia kuja kuitumikia. Sio maneno yangu, bali ya mchezaji wa Raja CA na sasa Azam FC, Djibril Sylla.

1698231475083.png
 
View attachment 2792315
1698237715784.png
 
Nyie kwa miaka 25 hata makundi mlikuwa hamuingii..ficha ujinga wako
Yaani kukuambia unaishia robo unaona ni ujinga. Sasa kama anayekuambia unamwona mjinga, je wewe unayeishia robo unajiona una akili?
 
Kuna haja ya kuwaomba CAF waandae kombe pekee la atakayeishia robo fainali kwenye mashindano yao yote.

Maana kwa ndugu zetu kikanuni fc aka robo robo fc hatua ya robo kwao ni hatua kubwa mno sawa na ushindi wa fainali.

CAF iwafikilie hawa ndugu zetu ROBO ROBO FC.
 
Back
Top Bottom