Wewe ushamvalia kanga moja shemeji yako kwa kuwa Dada yako kasafiri?Ngoja wamalize kuosha vyombo kwa shemeji zao waje waanze kubisha.
Mithali 26:5.Wewe ushamvalia kanga moja shemeji yako kwa kuwa Dada yako kasafiri?
Sasa mbona hizi ni picha za nyani, na manyani wanajulikana ni timu gani kwa mujibu wa kocha wao? 😂😂😂Mwambieni kama alikua hawajui.View attachment 2792388
Wakati wengine wakibeza kitendo cha Simba cha miaka kama mitano ya hivi karibuni kuishia hatua ya robo fainal ya michuano mbalimbali ya Afrika maarufu kama 'mwakarobo' (CL x3, CC x1 na AFL x1), kumbe jambo hilo kwa wachezaji wenyewe wa nchi mbalimbali za Afrika (sio washabiki wa Bongo) wanaliona positive sana na Simba ni kama timu iliyopiga hatua kubwa na inawavutia kuja kuitumikia. Sio maneno yangu, bali ya mchezaji wa Raja CA na sasa Azam FC, Djibril Sylla.
View attachment 2792315
Na tochi yenyewe si mpaka wawe nayo..!!Ni historia kufika robo fainali. Timu zikiongezeka hadi 24, hiyo robo itatafutwa kwa tochi 😂😂😂
Yanga hii hiii iliyo chukua miaka 30 kuingia makundi ?Huwezi kukuta timu kubwa duniani kama Real Madrid au Yanga ikijisifia huo ujinga.
Nyie kwa miaka 25 hata makundi mlikuwa hamuingii..ficha ujinga wako
Yaani kukuambia unaishia robo unaona ni ujinga. Sasa kama anayekuambia unamwona mjinga, je wewe unayeishia robo unajiona una akili?Nyie kwa miaka 25 hata makundi mlikuwa hamuingii..ficha ujinga wako
Wakati Yanga inaingia makundi mara ya kwanza wewe ulikuwa wapi?Nyie kwa miaka 25 hata makundi mlikuwa hamuingii..ficha ujinga wako
NyumamwikoMwambieni kama alikua hawajui.View attachment 2792388