Tulikwamia kwenye 49,sasa tumehamia hukuDjigui Diarra anarejea kileleni kwa cleansheets kwa mara ya kwanza msimu huu...
Unaambiwa kama hawa ndio vijana wa yanga basi yanga itaendelea kua na wazee wajinga maisha yoteKweli wenye akili ni wawili aliyecheza mechi 18 na aliyecheza mechi 16 wote Wana clean sheet sawa Bora ni aliyecheza mechi chache
Mantiki iliyotumika:Kweli wenye akili ni wawili aliyecheza mechi 18 na aliyecheza mechi 16 wote Wana clean sheet sawa Bora ni aliyecheza mechi chache
Nani anaruhusu Hawa vichaa wawe kwenye hili jukwaa? Kama akili zetu ziko hivyo Basi Mungu atashindwa hata kutusaidia. Logic simple hivyo ya chekechea bado mtu anamaliza bundle lake na kukaza msuli wa matako kubisha wakati ni arthemitic fact.chance
Ni sahahi mkuuKweli wenye akili ni wawili aliyecheza mechi 18 na aliyecheza mechi 16 wote Wana clean sheet sawa Bora ni aliyecheza mechi chache
Mungu akubariki lakini Kuna kichaa atakupinga
ni bonge la kipaDjigui Diarra anarejea kileleni kwa cleansheets kwa mara ya kwanza msimu huu.
[emoji3544]Djigui Diarra (Yanga Sc) Michezo 16
Cleansheet 10
[emoji3544]Aishi Manula (Simba Sc) Michezo 18
Cleansheet 10
[emoji3544]Ali Ahamada (Azam Fc) Michezo 15
Cleansheet 7
[emoji772] Djigui Diarra anakaa juu kutokana na idadi ya mechi alizocheza Kuwa Chache.
Credits IG: spotika24
View attachment 2464723
Katukana watu sasa anaona aibu yeye. Haya arudi hapa mkuu rodrick alexanderNi sahahi mkuu
Ukitaka kujua kuwa jamaa yuko sahihi iweke katika asilimia (percentage, %) kwa kuchukua idadi ya clean sheets gawanya kwa idadi ya mechi alizocheza then zidisha kwa 100%
Diarra (10/16)x100% = 62.5%
Manula (10/18)x100% = 55.6%
Hivyo Diarra ankuwa juu ya Manula
Hesabu. haziko namna alivyoweka hiyo formulaKatukana watu sasa anaona aibu yeye. Haya arudi hapa mkuu rodrick alexander
Mashabiki wa utoporo hawakubali kushindwaTulikwamia kwenye 49,sasa tumehamia huku
Rage alivowaita mbumbumbu hakukosea maana vichwani mpo weupe sanaHesabu. haziko namna alivyoweka hiyo formula
Nyinyi uto sijui mnafikiri Kwa kutumia nini? Huo ubora mnaompa kipa wenu ni Kwa kutumia takwimu za ku assume na sio fact, hivyo msikaze mishingo yenu. Mnasema ana chance ya kuongeza clean sheet akifikisha idadi ya mechi Sawa na Manula. Lakini je hamjui kuwa pia ana chance ya kutoongeza clean sheet hivyo wanaweza kufanana idadi ya mechi na clean sheet.Rage alivowaita mbumbumbu hakukosea maana vichwani mpo weupe sana
Kama mwenyekiti wa klabu Yako alikuita mbumbumbu naomba usini quote maana kichwani mwako kutakuwa ni kweupe sanaNyinyi uto sijui mnafikiri Kwa kutumia nini? Huo ubora mnaompa kipa wenu ni Kwa kutumia takwimu za ku assume na sio fact, hivyo msikaze mishingo yenu. Mnasema ana chance ya kuongeza clean sheet akifikisha idadi ya mechi Sawa na Manula. Lakini je hamjui kuwa pia ana chance ya kutoongeza clean sheet hivyo wanaweza kufanana idadi ya mechi na clean sheet.
Sasa makasiriko ya Nini ndugu mchangia mada !?Nani anaruhusu Hawa vichaa wawe kwenye hili jukwaa? Kama akili zetu ziko hivyo Basi Mungu atashindwa hata kutusaidia. Logic simple hivyo ya chekechea bado mtu anamaliza bundle lake na kukaza msuli wa matako kubisha wakati ni arthemitic fact.