Djigui anamaliza mwaka 2022 akiwa bora zaidi ya Manula

Djigui anamaliza mwaka 2022 akiwa bora zaidi ya Manula

Nyinyi uto sijui mnafikiri Kwa kutumia nini? Huo ubora mnaompa kipa wenu ni Kwa kutumia takwimu za ku assume na sio fact, hivyo msikaze mishingo yenu. Mnasema ana chance ya kuongeza clean sheet akifikisha idadi ya mechi Sawa na Manula. Lakini je hamjui kuwa pia ana chance ya kutoongeza clean sheet hivyo wanaweza kufanana idadi ya mechi na clean sheet.
We are ranking them in accordance to the current state in which they are in.

Mmoja kafikisha idadi hiyo kwa mechi chache zaidi ya mwenzake.
 
Ukitaka kujua kuwa jamaa yuko sahihi iweke katika asilimia (percentage, %) kwa kuchukua idadi ya clean sheets gawanya kwa idadi ya mechi alizocheza then zidisha kwa 100%

Diarra (10/16)x100% = 62.5%

Manula (10/18)x100% = 55.6%

Hivyo Diarra ankuwa juu ya Manula
 
Kwangu mimi na maoni ya wengi Saves ndo zinaamua ubora wa kipa siyo clean sheets ambazo walinzi kuanzia viungo wanachangia..saves ni za kipa tu.

Tuwapime hapo kwanza..utakuta hata Manula na Diarra hawapo

Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
 
Mantiki iliyotumika:

Kwakua wametight Djigui Diarra yupo juu zaidi ya Manula.

Kwa maana kama Djigui Diarra angecheza pia izo mechi (2) sawa na Manula angekua na advantage chance ya kuongeza cleansheet mbili zaidi.

Baba kwenye clean sheet ni tofauti na scoring kwa wachezaji wa ndani,hao wachambuzi wako uliowaskiza ni vilaza sasa ulkuwa na uhakika gani kama diarra angetoka na clean sheet hizo mechi mbili?
 
... wote Wana cleansheets sawa ila mmoja anamecheza game chache zaidi ya mwenzake.
CAF wanatumia kigezo cha idadi ya saves, sio clean sheets. Anyway, ninaheshimu mawazo yako lakini
 
Kwangu mimi na maoni ya wengi Saves ndo zinaamua ubora wa kipa siyo clean sheets ambazo walinzi kuanzia viungo wanachangia..saves ni za kipa tu.

Tuwapime hapo kwanza..utakuta hata Manula na Diarra hawapo

Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app

Nakubaliana na wewe,hawawezi kuwepo kwa makipa wenye saves nyingi kwa sababu timu yenye ukuta mzuri kama simba,yanga na azam ni mara chache kipa kufikiwa na mipira so mara nyingi huwa hawana saves kibao.

Ila kama safu ya ukuta ni mbovu,basi kipa huwa anafanya jitihada binafsi kutaka kulinda lango coz mabeki huwa wanakuwa washazidiwa,mfano mechi ya simba na kmc CCM KIRUMBA,ile mechi ndani ya sekunde takribani 12 robert kissu mapigano kipa wa kmc alifanya saves tatu za maana kabla ya kufumgwa na okrah..

Aliokoa mpira wa boko,ndani ya sekunde chache akaokoa kombora la zimbwe jr,pia akafanya save ya maana ya kanoute.

So by now kwangu kipa bora kwa kigezo cha saves anaweza kuwa mapigano na kina abeli wa prison na arakaza wa geita fc.
 
Kama mnahesabu saves Diara na Manula hawawezi kua kuwa kwenye top list sababu timu zao hazishambuliwi sana
 
Ni sahahi mkuu

Ukitaka kujua kuwa jamaa yuko sahihi iweke katika asilimia (percentage, %) kwa kuchukua idadi ya clean sheets gawanya kwa idadi ya mechi alizocheza then zidisha kwa 100%

Diarra (10/16)x100% = 62.5%

Manula (10/18)x100% = 55.6%

Hivyo Diarra ankuwa juu ya Manula
Bado watakwambia huna akili mkuu, waacheni wenye akili waendelee kutamba hapa jf
 
Djigui Diarra anarejea kileleni kwa cleansheets kwa mara ya kwanza msimu huu.

[emoji3544]Djigui Diarra (Yanga Sc) Michezo 16
Cleansheet 10

[emoji3544]Aishi Manula (Simba Sc) Michezo 18
Cleansheet 10

[emoji3544]Ali Ahamada (Azam Fc) Michezo 15
Cleansheet 7

[emoji772] Djigui Diarra anakaa juu kutokana na idadi ya mechi alizocheza Kuwa Chache.

Credits IG: spotika24
View attachment 2464723
subiri league iishe kwanza, ,,,,!una haraka sana
 
Kama mwenyekiti wa klabu Yako alikuita mbumbumbu naomba usini quote maana kichwani mwako kutakuwa ni kweupe sana
Mbumbumbu zimo kuliko manyani na mambwa. Kocha wenu alimaliza kila Kitu, naishia hapa sibishani tena na wa aina hiyo maana ni zaidi ya mbumbumbu.
 
Djigui Diarra anarejea kileleni kwa cleansheets kwa mara ya kwanza msimu huu.

[emoji3544]Djigui Diarra (Yanga Sc) Michezo 16
Cleansheet 10

[emoji3544]Aishi Manula (Simba Sc) Michezo 18
Cleansheet 10

[emoji3544]Ali Ahamada (Azam Fc) Michezo 15
Cleansheet 7

[emoji772] Djigui Diarra anakaa juu kutokana na idadi ya mechi alizocheza Kuwa Chache.

Credits IG: spotika24
View attachment 2464723
Kama ni hivyo basi Mayele.na Bocco, Bocco ni zaidi ya mayele.maana Bocco kacheza mechi chache msimu huu na ana goli 9 kibindoni mpaka sasa 😀😀😀
 
Back
Top Bottom