Djigui anamaliza mwaka 2022 akiwa bora zaidi ya Manula

Djigui anamaliza mwaka 2022 akiwa bora zaidi ya Manula

Updates:

Cleansheet ya 14 kwa Djigui Diarra.
 
Ubora wa kipa unahesabiwa kwenye saves siyo clean sheets sababu saves zinamuhusu kipa peke take ila clean sheets hadi mabeki wanahusika.Beki nzuri inaweza kumtengenezea kipa clean sheet.


Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
Hivi Kuna kipa ana saves nyingi hapa bongo kama Diarra?

Saves ndio huleta clean sheets. Diarra anachezesha timu si kama Manula
Mbumbumbu fc siku wakiamka sie utopolo Tuna makombe ya ligi kumi!
 
Back
Top Bottom