We are ranking them in accordance to the current state in which they are in.Nyinyi uto sijui mnafikiri Kwa kutumia nini? Huo ubora mnaompa kipa wenu ni Kwa kutumia takwimu za ku assume na sio fact, hivyo msikaze mishingo yenu. Mnasema ana chance ya kuongeza clean sheet akifikisha idadi ya mechi Sawa na Manula. Lakini je hamjui kuwa pia ana chance ya kutoongeza clean sheet hivyo wanaweza kufanana idadi ya mechi na clean sheet.
No, It's one of the important criteriaClean sheets pekee hupima ubora wa goalkeeper??
Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
Yeah..ila inaweza kichangiwa zaidi na walinzi kuliko goal keeper..kuna mda unasikiaga kipa anasoma gazetiNo, It's one of the important criteria
Hapana, ni Moja kati ya kigezo muhimu kinachoangaliwa
Kweli wenye akili ni wawili aliyecheza mechi 18 na aliyecheza mechi 16 wote Wana clean sheet sawa Bora ni aliyecheza mechi chache
Mantiki iliyotumika:
Kwakua wametight Djigui Diarra yupo juu zaidi ya Manula.
Kwa maana kama Djigui Diarra angecheza pia izo mechi (2) sawa na Manula angekua na advantage chance ya kuongeza cleansheet mbili zaidi.
CAF wanatumia kigezo cha idadi ya saves, sio clean sheets. Anyway, ninaheshimu mawazo yako lakini... wote Wana cleansheets sawa ila mmoja anamecheza game chache zaidi ya mwenzake.
Kwangu mimi na maoni ya wengi Saves ndo zinaamua ubora wa kipa siyo clean sheets ambazo walinzi kuanzia viungo wanachangia..saves ni za kipa tu.
Tuwapime hapo kwanza..utakuta hata Manula na Diarra hawapo
Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
Bado watakwambia huna akili mkuu, waacheni wenye akili waendelee kutamba hapa jfNi sahahi mkuu
Ukitaka kujua kuwa jamaa yuko sahihi iweke katika asilimia (percentage, %) kwa kuchukua idadi ya clean sheets gawanya kwa idadi ya mechi alizocheza then zidisha kwa 100%
Diarra (10/16)x100% = 62.5%
Manula (10/18)x100% = 55.6%
Hivyo Diarra ankuwa juu ya Manula
subiri league iishe kwanza, ,,,,!una haraka sanaDjigui Diarra anarejea kileleni kwa cleansheets kwa mara ya kwanza msimu huu.
[emoji3544]Djigui Diarra (Yanga Sc) Michezo 16
Cleansheet 10
[emoji3544]Aishi Manula (Simba Sc) Michezo 18
Cleansheet 10
[emoji3544]Ali Ahamada (Azam Fc) Michezo 15
Cleansheet 7
[emoji772] Djigui Diarra anakaa juu kutokana na idadi ya mechi alizocheza Kuwa Chache.
Credits IG: spotika24
View attachment 2464723
Mbumbumbu zimo kuliko manyani na mambwa. Kocha wenu alimaliza kila Kitu, naishia hapa sibishani tena na wa aina hiyo maana ni zaidi ya mbumbumbu.Kama mwenyekiti wa klabu Yako alikuita mbumbumbu naomba usini quote maana kichwani mwako kutakuwa ni kweupe sana
Kwani Manula alipokuwa amecheza mechi 16 hakuwa na clean sheet 10?We are ranking them in accordance to the current state in which they are in.
Mmoja kafikisha idadi hiyo kwa mechi chache zaidi ya mwenzake.
Mi na wewe nani mbumbumbu huyo kipa wenu mpaka apate clean sheet 2 ndio alingane na manula halafu wewe ndio utakuwa Mzee wa yanga baadaeRage alivowaita mbumbumbu hakukosea maana vichwani mpo weupe sana
Kama ni hivyo basi Mayele.na Bocco, Bocco ni zaidi ya mayele.maana Bocco kacheza mechi chache msimu huu na ana goli 9 kibindoni mpaka sasa πππDjigui Diarra anarejea kileleni kwa cleansheets kwa mara ya kwanza msimu huu.
[emoji3544]Djigui Diarra (Yanga Sc) Michezo 16
Cleansheet 10
[emoji3544]Aishi Manula (Simba Sc) Michezo 18
Cleansheet 10
[emoji3544]Ali Ahamada (Azam Fc) Michezo 15
Cleansheet 7
[emoji772] Djigui Diarra anakaa juu kutokana na idadi ya mechi alizocheza Kuwa Chache.
Credits IG: spotika24
View attachment 2464723
Kama ni hivyo basi Mayele.na Bocco, Bocco ni zaidi ya mayele.maana Bocco kacheza mechi chache msimu huu na ana goli 9 kibindoni mpaka sasa [emoji3][emoji3][emoji3]