Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Naam , ukuta imara unaweza kumfanya golikipa asipigiwe hata shoot moja sasa hapo utasema golikipa ndiye bora?Yeah..ila inaweza kichangiwa zaidi na walinzi kuliko goal keeper..kuna mda unasikiaga kipa anasoma gazeti
Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
Ni sahihi mechi mbili kapigwa goli TANO naDjigui Diarra anarejea kileleni kwa cleansheets kwa mara ya kwanza msimu huu.
[emoji3544]Djigui Diarra (Yanga Sc) Michezo 16
Cleansheet 10
[emoji3544]Aishi Manula (Simba Sc) Michezo 18
Cleansheet 10
[emoji3544]Ali Ahamada (Azam Fc) Michezo 15
Cleansheet 7
[emoji772] Djigui Diarra anakaa juu kutokana na idadi ya mechi alizocheza Kuwa Chache.
Credits IG: spotika24
View attachment 2464723
Kabisa,wengi wanalipinga hilo suala...ubora wa kipa upo kwenye saves anazofanya na sio cleansheet......wajitafakari,Yeah..ila inaweza kichangiwa zaidi na walinzi kuliko goal keeper..kuna mda unasikiaga kipa anasoma gazeti
Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
Usichokijua ni kwamba ubora wa kipa ni zaidi ya hizo saves na cleensheet bali hata kuupanga vizuri ukuta wake, ndomana hata kwenye fouls pia kipa anahusika zaidi kuonesha namna ya kupanga ukuta wa kuzuia,Kabisa,wengi wanalipinga hilo suala...ubora wa kipa upo kwenye saves anazofanya na sio cleansheet......wajitafakari,
Naweza kusema katika mechi ya Simba na Prisons kipa Hussein Abel alikuwa bora kuliko manula...
Aisssseeeeh sawaUsichokijua ni kwamba ubora wa kipa ni zaidi ya hizo saves na cleensheet bali hata kuupanga vizuri ukuta wake, ndomana hata kwenye fouls pia kipa anahusika zaidi kuonesha namna ya kupanga ukuta wa kuzuia,
Ukisema Diarra au Air manula siyo Bora eti kisa wanalindwa na mabeki wazuri unakosea hakuna team iliyokatazwa kusajili beki wazuri..unaweza ukawa na saves 500 AF umeruhusu magoli 100 na Una cleensheet 5 mwenzio akawa na saves 10 tu msimu mzima na cleensheet 10, kam uliangalia usiku wa tuzo Air manula mwenyewe alisema anaestahili kubeba tuzo ni diarra sababu amemzidi cleensheets..Goal keeper ni Zaid ya kukaa tu golini Bali ni kupanga pia ukuta wake vizuri ili team isishambuliwe SanaAisssseeeeh sawa
Manula 9½ bossAnyway..
Djigui Diarra - 13
Aishi Manula - 11
Hawana akili haoMantiki iliyotumika:
Kwakua wametight Djigui Diarra yupo juu zaidi ya Manula.
Kwa maana kama Djigui Diarra angecheza pia izo mechi (2) sawa na Manula angekua na advantage chance ya kuongeza cleansheet mbili zaidi.
Maana yake ni kuwa: aliyecheza mechi nyingi anakuwa ana wastani mzuri wa minutes per goal conceded. Yani time interval ya kuruhusu goal ni kubwa kuliko yule mwenye mechi chacheNyinyi uto sijui mnafikiri Kwa kutumia nini? Huo ubora mnaompa kipa wenu ni Kwa kutumia takwimu za ku assume na sio fact, hivyo msikaze mishingo yenu. Mnasema ana chance ya kuongeza clean sheet akifikisha idadi ya mechi Sawa na Manula. Lakini je hamjui kuwa pia ana chance ya kutoongeza clean sheet hivyo wanaweza kufanana idadi ya mechi na clean sheet.
Ni kweli but it counts kwa performance evaluation ya makipaClean sheets si kazi ya golikipa peke yake..inahusisha mabeki pia.
Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
Hii timu ina mashabiki vitukoNyinyi uto sijui mnafikiri Kwa kutumia nini? Huo ubora mnaompa kipa wenu ni Kwa kutumia takwimu za ku assume na sio fact, hivyo msikaze mishingo yenu. Mnasema ana chance ya kuongeza clean sheet akifikisha idadi ya mechi Sawa na Manula. Lakini je hamjui kuwa pia ana chance ya kutoongeza clean sheet hivyo wanaweza kufanana idadi ya mechi na clean sheet.
Huwezi kuelewa uto.Hii timu ina mashabiki vituko
Nakushangaa unawashangaa!Hawa wenye akili wawili tu.Wengine wote akili zao za uwezo wa kusukuma mavi kama yule mdudu anayeitwa Dingi.Kweli wenye akili ni wawili aliyecheza mechi 18 na aliyecheza mechi 16 wote Wana clean sheet sawa Bora ni aliyecheza mechi chache