Kumeanza kuchangamka🤣🤣🤣Wakuu
Huyu golikipa wa Yanga naona kama amerelax sana. Kwanini hajitumi? Mechi kadhaa nikiangalia magoli anayoruhusu si magoli ambayo anajituma.
Mfano game ya Leo Yanga kufungwa goli tatu, kwanini magoli yote hakuwa anaruka kudaka au kupangua? Anasimama tuu kama mlingoti, kweli?
USHAURI
Ana maslahi mazuri na ni golikipa mzuri lakini apambane. Aruke kufuata mashuti ili apangue au aruke akikosa tutaelewa.
Yani aache uzembe
View attachment 3146369
Pamoja na hilooMsimlaumu Diarra, Shooting accuracy ya Offen Chikola ni ya kiwango cha UEFA champions league.
Huyo Dogo aitwe taifa stars.
Unamuonea bure.ata goli la 3 mkuu, kuruka tuu ameshindwa?
Screen Protector...Si tulisema hata mipira ije mingi kama mishale anadaka, imekuwaje..