Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na leo alipuuzia?ile mechi ya kufungwa mbali alipuuzia mpira baada ya kuona mchezaji wake kafanyiwa madhambi akajua ni faulo
diara hawezi linganishwa na kipa yeyote tz
Bado ni golikipa mzuri, ila naona kama ameongezeka uzito kidogo.Wakuu
Huyu golikipa wa Yanga naona kama amerelax sana. Kwanini hajitumi? Mechi kadhaa nikiangalia magoli anayoruhusu si magoli ambayo anajituma.
Mfano game ya Leo Yanga kufungwa goli tatu, kwanini magoli yote hakuwa anaruka kudaka au kupangua? Anasimama tuu kama mlingoti, kweli?
USHAURI
Ana maslahi mazuri na ni golikipa mzuri lakini apambane. Aruke kufuata mashuti ili apangue au aruke akikosa tutaelewa.
Yani aache uzembe
View attachment 3146369
Msimlaumu Diarra, Shooting accuracy ya Offen Chikola ni ya kiwango cha UEFA champions league.
Huyo Dogo aitwe taifa stars.
Chikola na wazawa wengine wa Tabora united waitwe Stars
Tunaomba chikola aitwe taifa stars. Accuracy yake akiwe mbele ya goli ni kubwa sana, nahisi jamaa ni mbrazili Naomba kocha na tff wamuongeze taifa stars. Hicho kipaji kikuzwe. Accuracy yake mbele ya goli ni ya kimataifa level za UEFA champions league. Pia kama kuna wazawa wengine waliocheza...www.jamiiforums.com
😂😂😂😂Daah..Aya bhnaaMods unganisheni nyuzi za utopolo ili walilie kwenye Uzi mmoja. Nyuzi za kulia zimejaa sana😂
Huyu huyu mdaka mishale?Wakuu
Huyu golikipa wa Yanga naona kama amerelax sana. Kwanini hajitumi? Mechi kadhaa nikiangalia magoli anayoruhusu si magoli ambayo anajituma.
Mfano game ya Leo Yanga kufungwa goli tatu, kwanini magoli yote hakuwa anaruka kudaka au kupangua? Anasimama tuu kama mlingoti, kweli?
USHAURI
Ana maslahi mazuri na ni golikipa mzuri lakini apambane. Aruke kufuata mashuti ili apangue au aruke akikosa tutaelewa.
Yani aache uzembe
View attachment 3146369
Djugui Diara ni kipa mzuri akizungukwa na ukita mzuri wa mabeki.Wakuu
Huyu golikipa wa Yanga naona kama amerelax sana. Kwanini hajitumi? Mechi kadhaa nikiangalia magoli anayoruhusu si magoli ambayo anajituma.
Mfano game ya Leo Yanga kufungwa goli tatu, kwanini magoli yote hakuwa anaruka kudaka au kupangua? Anasimama tuu kama mlingoti, kweli?
USHAURI
Ana maslahi mazuri na ni golikipa mzuri lakini apambane. Aruke kufuata mashuti ili apangue au aruke akikosa tutaelewa.
Yani aache uzembe
View attachment 3146369
😂😂😂 binti huruma, wahuni wanajipigia tu!Baada ya Azam kuivunja..Sasa ni zamu ya wengine kujipigia tu
Mkuu penye ukweli pasemweMimi ni shabiki wa Simba ila niseme mashabiki wengine ni uchwara au wanabet Yani wanasubir timu ifungwe waaze kumrushia mtu lawama , mara oo kocha na apo juzi wamemsifia, kubali mpira una matokeo matatu basi, mpira ni mchezo wa makosa, mech alizoshinda yanga ni Kwa sababu ya makosa ya timu pinzani, ili timu ifungwe lazma yawepo makosa, we yanga unalalmika hvo VP Madrid na man city 🤔