Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakwambia hivi. Shooting accuracy ya Offen Chikola ipo juu mno. Hakuna mshambuaji yoyote wa Yanga hata waongane wote ambaye anaweza kufikia accuracy ya Offen Chikola.Pamoja na hiloo
Angalia tuu udakaji wake siku hizi. Atasimama kuangalia tu mpira unaenda nyavuni. Amesababisha Tabora wanaonekana vigogo
Heri yeye, Metacha alipiga gotiata goli la 3 mkuu, kuruka tuu ameshindwa?
Hawakuchomwa MasindanoHii Yanga ya Leo haikuwa ile ya siku zote
Protector ya mabuaScreen Protector...
Uko sahihi mkuuNakwambia hivi. Shooting accuracy ya Offen Chikola ipo juu mno. Hakuna mshambuaji yoyote wa Yanga hata waongane wote ambaye anaweza kufikia accuracy ya Offen Chikola.
Kapata nafasi mbili na hizo hizo mbili ndio magoli. Shooting Accuracy yake ni ya level za UEFA champions league, Huyo dogo anapata namba first eleven ya Manchester United.
Inabidi apewe nafasi kuonesha kipaji chake.
Mnamlaumu diarra bure. Offen Chikola kaupiga mwingi sana, Shooting accuracy yake mbele ya goli ni kubwa sana
Aliuzwa.Mfno lile la kwanza angeruka ata ushahid tuu
Hakuna golikipa ambaye hafungiki. Kufungwa ni kitu kipo. Lakini lazima Offen Chikola apewe maua yake. Shooting accuracy ya Offen Chikola ipo juu mnoUko sahihi mkuu
Kama ni Chikola ni world class na amekutana na world class goalkeeper. Tunategemea game kubwa zaidi
Dogo yupo vizuri ila umahiri wa Diarra haupo katika kiwango kizuri.
Bad day at the office zimekua nyingi, excuse nyingi...
Pole madam 😅Ukisikia kazini kwa Diara kuna kazi ndiyo leo. All in all ni kipa mzuri sana. Ni binadamu pia, hatoweza kuwa akidaka mechi zote.
ukumbuke Wanyamwezi nao wamo. Huenda kila mkwaju unaotupiwa golini, sisi tunaona mpira Diara anaona ni fisi. Shikamooni Wanyamwezi.
aiweke imponze kama weweIweke kihasibu sasa
ile mechi ya kufungwa mbali alipuuzia mpira baada ya kuona mchezaji wake kafanyiwa madhambi akajua ni fauloCamara alifungwa goli la mbali mechi na Coastal, vinabo wote walianza kumbeza na kusema hajui kudaka.
Wengine wakaenda mbali kuanza kumtaja Diarra kuwa ni kipa mzuri asiyefungwa magoli ya aina hiyo.
Wakasahau kuwa huyo huyo Diarra aliwahi kufungwa umbali wa zaidi ya mita 60 na Mtibwa tena goli dakika ya jioni lilienda kuharibu clean sheet.
View attachment 3146406
Haya mechi ya leo tena kafungwa magoli yale yale ya kibwege ambayo mashabiki wao wangeyaona anafungwa Camara wote wangejaa mimate kifuani.
Kuna kitu hakipo sawa UtopoloniHii Yanga ya Leo haikuwa ile ya siku zote