Djigui Diara si golikipa wa kutegemewa

Bado ni golikipa mzuri, ila naona kama ameongezeka uzito kidogo.

Ova
 
Hizi game 2 za mwisho Vs Azam & Tabora ndio reference Kwa Timu zilizo kundi moja na uto CACL ...Si mlisema nyie tishio africa
 

View: https://x.com/tplboard/status/1854576024677499284?t=VF8GelRx5Q4wNdiTg60ctQ&s=19
 
Huyu huyu mdaka mishale?
 
Djugui Diara ni kipa mzuri akizungukwa na ukita mzuri wa mabeki.
Game ya leo ilikuwa ngumu kwa Yanga ukuta wa mabeki haukuwa imara kiasi cha yeye kupoteza matumaini tangu Bacca apewe red card Diara ni kama hana matumaini wala furaha.

Si mtu wa Kumlaumu hamkumbuki kwenye Derby Ateba Alibaki nae 1 v 1 na akasave?
Ni mara ngapi anawasave?

Leo ni siku mbaya kazini, Offen Chikola mwenyewe anapiga sehemu mbaya tu hata angekuwa Buffon au Van de Sar asingechomoa zile. πŸ˜‚
 
Mimi ni shabiki wa Simba ila niseme mashabiki wengine ni uchwara au wanabet Yani wanasubir timu ifungwe waaze kumrushia mtu lawama , mara oo kocha na apo juzi wamemsifia, kubali mpira una matokeo matatu basi, mpira ni mchezo wa makosa, mech alizoshinda yanga ni Kwa sababu ya makosa ya timu pinzani, ili timu ifungwe lazma yawepo makosa, we yanga unalalmika hvo VP Madrid na man city πŸ€”
 
Mkuu penye ukweli pasemwe
Tusiogope kufunguka ukweli ilhali tunaona wap panayumba.
Ukweli huu ni wa kumjenga
 
ile mechi ya kufungwa mbali alipuuzia mpira baada ya kuona mchezaji wake kafanyiwa madhambi akajua ni faulo

diara hawezi linganishwa na kipa yeyote tz
Kwa performance hii mkuu
Amna, yupo chini ya kiwango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…