Djigui Diara si golikipa wa kutegemewa

Siwezi kumlaumu kipa. Kafungwa magoli magumu
Yale magoli ni magumu mno, hasa yale mawili ya Offen Chikola. Watu wanampuuza Chikola kwa kuwa sio mchezaji wa Simba au Yanga. Lakini Offen Chikola ana shooting accuracy ya hali ya juu, kuliko wachezaji wengi mno Tanzania. Pale Yanga hakuna hata mmoja anayefika hata robo ya Shooting accuracy ya Offen Chikola. Kapata nafasi mbili na zote kafunga goli 2.


Tabora united wapewe maua yao.
Offen Chikola apewe maua yake.
 
Shida aliyonayo diarra ni moja, huwa ana mihasira ambayo ikishampanda anatoka kabisa mchezoni. Nadhani kwa wachezaji wa yanga hakuna anaependa kuona timu ikicheza na kufanya vizuri kumzidi yeye(hii ni kulingana na reactions zake uwanjani kulingana na namna timu inavyocheza). Yanga ikishatanguliwa goli presha ya Diarra huwa ni kubwa sana, anabadilika kabisa.

Yote kwa yote tutarudi kwenye ubora wetu na tutaendelea kushinda vikombe.
πŸ’›πŸ’š
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
 
Kua na msimamo

Juzi mlimkataa kamala, leo tena mmemkataa huyu, au nyi ndo bendera fuata upepo naowasikiaa?
 
Ameen
 
Naunga sana mkono joja Diarra si.kipa mzuri ana walinzi wazuri hilo tuuuu....mhda sasa awe anaanza yule mrefu mpya Diara hapana
 
πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…