DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Golikipa wa Yanga Djigui Diarra ukiacha footwork yake hana tofauti yoyote ya kumzidi Ally Salim wa Simba na hata Hussein Abeli. Kuna nyakati Salim amedhihirisha kuna vitu anamzidi Diarra.
Moja ya jambo linaloniudhi kupita maelezo kuhusu huyu mdaka panzi ni vitendo vyake vya kupoteza muda. Diarra akiguswa tu, lazima ataita wauguzi waje wapoteze naye dakika 3. Wakati mwingine anagongwa kwingine anakimbilia kuvua gloves. Huu ni upuuzi.
Hizi tabia za kupoteza muda kwa kujifanya umeumia hatuzitaki maana siyo za kimpira. Tuwaache waarabu waendelee na upuuzi wao. Kama unadhani una timu bora, ukiwa unaongoza chezesha wapinzani wako draft.
Ligi ya NBC haihitaji kuwa na mchezaji anayepewa tuzo ya golikipa bora wakati anaendekeza mambo haya ya hovyo. Kwanza kwa misimu hii miwili amebebwa tu na jihadi za kina Bacca na Job.
Moussa "Pin Pin" Camara ndiye anaenda kupata tuzo ya golikipa bora wa NBC na golikipa bora wa Africa wa msimu huu.