Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 25,186
- 27,366
AFCON hata Metacha anaenda 😂😂😂Diarra anaenda AFCON
AFCON hata Metacha anaenda 😂😂😂Diarra anaenda AFCON
Hivi ni lini utaacha kuhangaika na mambo yasiyokuhusu. Wewe ni simba lia lia, hangaika na masuala ya simbaGolikipa wa Yanga Djigui Diarra ukiacha footwork yake hana tofauti yoyote ya kumzidi Ally Salim wa Simba na hata Hussein Abeli. Kuna nyakati Salim amedhihirisha kuna vitu anamzidi Diarra.
Moja ya jambo linaloniudhi kupita maelezo kuhusu huyu mdaka panzi ni vitendo vyake vya kupoteza muda. Diarra akiguswa tu, lazima ataita wauguzi waje wapoteze naye dakika 3. Wakati mwingine anagongwa kwingine anakimbilia kuvua gloves. Huu ni upuuzi.
Hizi tabia za kupoteza muda kwa kujifanya umeumia hatuzitaki maana siyo za kimpira. Tuwaache waarabu waendelee na upuuzi wao. Kama unadhani una timu bora, ukiwa unaongoza chezesha wapinzani wako draft.
Ligi ya NBC haihitaji kuwa na mchezaji anayepewa tuzo ya golikipa bora wakati anaendekeza mambo haya ya hovyo. Kwanza kwa misimu hii miwili amebebwa tu na jihadi za kina Bacca na Job.
Moussa "Pin Pin" Camara ndiye anaenda kupata tuzo ya golikipa bora wa NBC na golikipa bora wa Africa wa msimu huu.
Tumehama kwenye kombe la kibegi na group la whatsapp sasa hivi tuko kwenye kombe la cleanshit!Diarra ukimwambia akupe cleansheet anakuletea shuka safi.
Adeni Rage alisema kweli aiseeeUkifuta magoli mawili ya kujifunga ya Kijili na Chasambi, leo tungekuwa tunafunga mahesabu ya kipa yupi ana cleansheet nyingi zaidi msimu huu.
Jamaa ukicheki thread zake nyingi utagundua ana mapungufu makubwa ujuaji mwingi wa mbele giza..Huu ushabiki maandazi wa kitanzania sasa umefika kubaya, golikipa namba 1 wa 🇲🇱 nchi iliyo juu kisoka unamfananisha na Ally salum aliyetoka street soccer hajui hata basics za mpira🚮🚮🚮🚮
Ndiyo, hiyo ni moja ya sababu kuu!Ndio sababu ya kukimbia mechi
Yaani unataka mchezaji afanye upuuzi katika mechi za ligi halafu tumuangalie tu kisa anachezea timu isiyonihusu? Kwa hiyo mechi za Yanga waaangalie Yanga peke yao?Hivi ni lini utaacha kuhangaika na mambo yasiyokuhusu. Wewe ni simba lia lia, hangaika na masuala ya simba
Usikaze fuvu, kuna vitu Salim anamzidi kwa mbaali sana huyo mwarabu wa Buza. Kutokea Mali ni kudra tu za muumbaji.Huu ushabiki maandazi wa kitanzania sasa umefika kubaya, golikipa namba 1 wa 🇲🇱 nchi iliyo juu kisoka unamfananisha na Ally salum aliyetoka street soccer hajui hata basics za mpira🚮🚮🚮🚮
Idadi ya Cleansheet ni moja ya vigezo vya kujua kipa bora. Mafanikio ya mchezaji mmoja mmoja yanasaidia kuibrand timu, kama hilo haulijui basi upo kwenye fani isiyokuhusu, rudi kwenye mdako.Tumehama kwenye kombe la kibegi na group la whatsapp sasa hivi tuko kwenye kombe la cleanshit!
'Umetueleza yote hayo kwaiyo ulitaka tukusaidiaje'Golikipa wa Yanga Djigui Diarra ukiacha footwork yake hana tofauti yoyote ya kumzidi Ally Salim wa Simba na hata Hussein Abeli. Kuna nyakati Salim amedhihirisha kuna vitu anamzidi Diarra.
Moja ya jambo linaloniudhi kupita maelezo kuhusu huyu mdaka panzi ni vitendo vyake vya kupoteza muda. Diarra akiguswa tu, lazima ataita wauguzi waje wapoteze naye dakika 3. Wakati mwingine anagongwa kwingine anakimbilia kuvua gloves. Huu ni upuuzi.
Hizi tabia za kupoteza muda kwa kujifanya umeumia hatuzitaki maana siyo za kimpira. Tuwaache waarabu waendelee na upuuzi wao. Kama unadhani una timu bora, ukiwa unaongoza chezesha wapinzani wako draft.
Ligi ya NBC haihitaji kuwa na mchezaji anayepewa tuzo ya golikipa bora wakati anaendekeza mambo haya ya hovyo. Kwanza kwa misimu hii miwili amebebwa tu na jihadi za kina Bacca na Job.
Kwa kuwa unadanga unaona kila mmoja ni wa jamii yako? Usiparamie kila mtu na maneno yako mbofumbofu utapigwa mimbaIdadi ya Cleansheet ni moja ya vigezo vya kujua kipa bora. Mafanikio ya mchezaji mmoja mmoja yanasaidia kuibrand timu, kama hilo haulijui basi upo kwenye fani isiyokuhusu, rudi kwenye mdako.
'Umetueleza yote hayo kwaiyo ulitaka tukusaidiaje'
Kwa sauti ya prof jay
Mwambieni huyo mdaka panzi wenu kuwa watu hawaji uwanjani kumuangalia akiwa amejilaza. Tungekuwa tunataka hilo tungempeleka chumbani.Kwa kuwa unadanga unaona kila mmoja ni wa jamii yako? Usiparamie kila mtu na maneno yako mbofumbofu utapigwa mimba
Ndio wale Rage alikua anasemaJamaa ukicheki thread zake nyingi utagundua ana mapungufu makubwa ujuaji mwingi wa mbele giza..
Sasa wewe binti Camara amefanya kipya gani ambacho Diara hajafanya?Idadi ya Cleansheet ni moja ya vigezo vya kujua kipa bora. Mafanikio ya mchezaji mmoja mmoja yanasaidia kuibrand timu, kama hilo haulijui basi upo kwenye fani isiyokuhusu, rudi kwenye mdako.
Tafuta chimbo lingine la kudanga usilazimishe wasiohusika na huo upuuzi. Na kama hao watu unaosema hawaendi uwanjani ni hao wadangaji wenzio wasiendelee kufika tu hatutaki nuksiMwambieni huyo mdaka panzi wenu kuwa watu hawaji uwanjani kumuangalia akiwa amejilaza. Tungekuwa tunataka hilo tungempeleka chumbani.
Sio Kijili tu bali hata Chasambi anamtungua fresh tu, tena goli la Chasambi Pin pin 📌 alinyoosha mikono juu kuomba mpira uje, dogo akatuma fataki!!Pin 📌 📍 yeye anafungwa na Kijili