DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Msimu wa 2024-25Toka lini mashindano ya shirikisho yakatoa kipa Bora
Huko Africa watu wenye akili hawana muda na mashindano ya shirikishoMsimu wa 2024-25
Toka lini mashindano ya shirikisho yakatoa kipa Bora
Wana muda na mechi za mchangani sioHuko Africa watu wenye akili hawana muda na mashindano ya shirikisho
Kwani akipata tuzo huyo pin shida iko wapi? Diara ni golikipa wetu bora komaa na wa kwenu mfungulie nyuzi kumsifiaGolikipa wa Yanga Djigui Diarra ukiacha footwork yake hana tofauti yoyote ya kumzidi Ally Salim wa Simba na hata Hussein Abeli. Kuna nyakati Salim amedhihirisha kuna vitu anamzidi Diarra.
Moja ya jambo linaloniudhi kupita maelezo kuhusu huyu mdaka panzi ni vitendo vyake vya kupoteza muda. Diarra akiguswa tu, lazima ataita wauguzi waje wapoteze naye dakika 3. Wakati mwingine anagongwa kwingine anakimbilia kuvua gloves. Huu ni upuuzi.
Hizi tabia za kupoteza muda kwa kujifanya umeumia hatuzitaki maana siyo za kimpira. Tuwaache waarabu waendelee na upuuzi wao. Kama unadhani una timu bora, ukiwa unaongoza chezesha wapinzani wako draft.
Ligi ya NBC haihitaji kuwa na mchezaji anayepewa tuzo ya golikipa bora wakati anaendekeza mambo haya ya hovyo. Kwanza kwa misimu hii miwili amebebwa tu na jihadi za kina Bacca na Job.
Moussa "Pin Pin" Camara ndiye anaenda kupata tuzo ya golikipa bora wa NBC na golikipa bora wa Africa wa msimu huu.
Huko Africa watu wenye akili hawana muda na mashindano ya shirikisho
Diarra ukimwambia akupe cleansheet anakuletea shuka safi.Kwani akipata tuzo huyo pin shida iko wapi? Diara ni golikipa wetu bora komaa na wa kwenu mfungulie nyuzi kumsifia
Pin 📌 📍 yeye anafungwa na KijiliDiarra ukimwambia akupe cleansheet anakuletea shuka safi.
Sio Shirikisho, Diara anacheza ligi ya baraToka lini mashindano ya shirikisho yakatoa kipa Bora
Diarra anaenda AFCONSio Shirikisho, Diara anacheza ligi ya bara
Huu ushabiki maandazi wa kitanzania sasa umefika kubaya, golikipa namba 1 wa 🇲🇱 nchi iliyo juu kisoka unamfananisha na Ally salum aliyetoka street soccer hajui hata basics za mpira🚮🚮🚮🚮Golikipa wa Yanga Djigui Diarra ukiacha footwork yake hana tofauti yoyote ya kumzidi Ally Salim wa Simba na hata Hussein Abeli. Kuna nyakati Salim amedhihirisha kuna vitu anamzidi Diarra.
Moja ya jambo linaloniudhi kupita maelezo kuhusu huyu mdaka panzi ni vitendo vyake vya kupoteza muda. Diarra akiguswa tu, lazima ataita wauguzi waje wapoteze naye dakika 3. Wakati mwingine anagongwa kwingine anakimbilia kuvua gloves. Huu ni upuuzi.
Hizi tabia za kupoteza muda kwa kujifanya umeumia hatuzitaki maana siyo za kimpira. Tuwaache waarabu waendelee na upuuzi wao. Kama unadhani una timu bora, ukiwa unaongoza chezesha wapinzani wako draft.
Ligi ya NBC haihitaji kuwa na mchezaji anayepewa tuzo ya golikipa bora wakati anaendekeza mambo haya ya hovyo. Kwanza kwa misimu hii miwili amebebwa tu na jihadi za kina Bacca na Job.
Moussa "Pin Pin" Camara ndiye anaenda kupata tuzo ya golikipa bora wa NBC na golikipa bora wa Africa wa msimu huu.
Uzi bookmarked.Golikipa wa Yanga Djigui Diarra ukiacha footwork yake hana tofauti yoyote ya kumzidi Ally Salim wa Simba na hata Hussein Abeli. Kuna nyakati Salim amedhihirisha kuna vitu anamzidi Diarra.
Moja ya jambo linaloniudhi kupita maelezo kuhusu huyu mdaka panzi ni vitendo vyake vya kupoteza muda. Diarra akiguswa tu, lazima ataita wauguzi waje wapoteze naye dakika 3. Wakati mwingine anagongwa kwingine anakimbilia kuvua gloves. Huu ni upuuzi.
Hizi tabia za kupoteza muda kwa kujifanya umeumia hatuzitaki maana siyo za kimpira. Tuwaache waarabu waendelee na upuuzi wao. Kama unadhani una timu bora, ukiwa unaongoza chezesha wapinzani wako draft.
Ligi ya NBC haihitaji kuwa na mchezaji anayepewa tuzo ya golikipa bora wakati anaendekeza mambo haya ya hovyo. Kwanza kwa misimu hii miwili amebebwa tu na jihadi za kina Bacca na Job.
Moussa "Pin Pin" Camara ndiye anaenda kupata tuzo ya golikipa bora wa NBC na golikipa bora wa Africa wa msimu huu.
Alikuwa majeruhiSasa kama una Camara golikipa bora nini kikakufanya ukimbie mechi?
Ndio sababu ya kukimbia mechiAlikuwa majeruhi