Djigui Diarra ni Mwarabu wa Buza kwa Mparange

Hivi ni lini utaacha kuhangaika na mambo yasiyokuhusu. Wewe ni simba lia lia, hangaika na masuala ya simba
 
Upuuzi wa mashoga ya mpira wa kitanzania!.
 
Hivi ni lini utaacha kuhangaika na mambo yasiyokuhusu. Wewe ni simba lia lia, hangaika na masuala ya simba
Yaani unataka mchezaji afanye upuuzi katika mechi za ligi halafu tumuangalie tu kisa anachezea timu isiyonihusu? Kwa hiyo mechi za Yanga waaangalie Yanga peke yao?
 
Huu ushabiki maandazi wa kitanzania sasa umefika kubaya, golikipa namba 1 wa 🇲🇱 nchi iliyo juu kisoka unamfananisha na Ally salum aliyetoka street soccer hajui hata basics za mpira🚮🚮🚮🚮
Usikaze fuvu, kuna vitu Salim anamzidi kwa mbaali sana huyo mwarabu wa Buza. Kutokea Mali ni kudra tu za muumbaji.

Kule Brazil mastar kibao waliotikisa dunia ya soka walitokea kwenye street soccer.
 
Tumehama kwenye kombe la kibegi na group la whatsapp sasa hivi tuko kwenye kombe la cleanshit!
Idadi ya Cleansheet ni moja ya vigezo vya kujua kipa bora. Mafanikio ya mchezaji mmoja mmoja yanasaidia kuibrand timu, kama hilo haulijui basi upo kwenye fani isiyokuhusu, rudi kwenye mdako.
 
'Umetueleza yote hayo kwaiyo ulitaka tukusaidiaje'

Kwa sauti ya prof jay
 
Idadi ya Cleansheet ni moja ya vigezo vya kujua kipa bora. Mafanikio ya mchezaji mmoja mmoja yanasaidia kuibrand timu, kama hilo haulijui basi upo kwenye fani isiyokuhusu, rudi kwenye mdako.
Kwa kuwa unadanga unaona kila mmoja ni wa jamii yako? Usiparamie kila mtu na maneno yako mbofumbofu utapigwa mimba
 
'Umetueleza yote hayo kwaiyo ulitaka tukusaidiaje'

Kwa sauti ya prof jay

Kwa kuwa unadanga unaona kila mmoja ni wa jamii yako? Usiparamie kila mtu na maneno yako mbofumbofu utapigwa mimba
Mwambieni huyo mdaka panzi wenu kuwa watu hawaji uwanjani kumuangalia akiwa amejilaza. Tungekuwa tunataka hilo tungempeleka chumbani.
 
Idadi ya Cleansheet ni moja ya vigezo vya kujua kipa bora. Mafanikio ya mchezaji mmoja mmoja yanasaidia kuibrand timu, kama hilo haulijui basi upo kwenye fani isiyokuhusu, rudi kwenye mdako.
Sasa wewe binti Camara amefanya kipya gani ambacho Diara hajafanya?
 
Mwambieni huyo mdaka panzi wenu kuwa watu hawaji uwanjani kumuangalia akiwa amejilaza. Tungekuwa tunataka hilo tungempeleka chumbani.
Tafuta chimbo lingine la kudanga usilazimishe wasiohusika na huo upuuzi. Na kama hao watu unaosema hawaendi uwanjani ni hao wadangaji wenzio wasiendelee kufika tu hatutaki nuksi
 
Kuna watu wanacopy content zangu konki bila kutoa credit kwa mwamba.

 
Pin 📌 📍 yeye anafungwa na Kijili
Sio Kijili tu bali hata Chasambi anamtungua fresh tu, tena goli la Chasambi Pin pin 📌 alinyoosha mikono juu kuomba mpira uje, dogo akatuma fataki!!

Slmba wakimponda mchezaji wetu utopolo basi ujue huyo ndie kikwazo na mwiba mkali kwao, hapa dawa ni kumpa Diarra mkataba wa miaka mitano , Diarra ndie nguzo namba moja ya ubingwa na makombe yetu. Wanaanzisha ***** ***** ili Yanga imuache wamchukue!! Yanga wenye akili sio wawili tena wako wanne hivi Sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…