Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahyo kuifikisha hapo kwa mbinde ndo asikaribishe mtu mwingine wa kutia nguvu ili biashara isonge zaidi?Partner!?????? Mmmh anyway sijui makubaliano yao ila akili inaniambia king ni balozi though wanajua wao
Mo faya sio ya leo na djsbu ameifikisha hapo kwa mbide
kwahyo kuifikisha hapo kwa mbinde ndo asikaribishe mtu mwingine wa kutia nguvu ili biashara isonge zaidi?
Vijembe gani tena au unamsema dadamondi?Ni jambo zuri ila jamaa apunguze ubaguzi na vijembe (Taraabu)
unakataa nini mzee? Kama kaifikisha hapo kwa mbinde maana yake hawezi kuuza shares au unamaanisha Kiba hawezi nunua hizo shares?Partner!?????? Mmmh anyway sijui makubaliano yao ila akili inaniambia king ni balozi though wanajua wao
Mo faya sio ya leo na djsbu ameifikisha hapo kwa mbide
Endelea kuamini mkuu ila haitabadilisha ukweli kuwa yeye ni Partner.
Nitaendelea kuamini kama mwana ni balozi baaas
Mie nilidhani MoFaya ni ndugu of MoEmbe, MoWater, MoChungwa, MoCola, MoEnergy etc
Mkuu umeongea ukweli mtupu huyo anafanyia promo hakuna kingine,pili hiyo bidhaa kutawala soko ni ngumu redbull ndio kashika soko..imekuja shark imeshindwa tamba,imekuja bullet imeshindwa tamba,imekuja dragon toka SA ambako inanguvu imeshindwa tamba.Wasanii wengi waongo kwenye bizness,wapo kwa ajili ya kufanya promo tu,wanalipwa kwa kutangaza bizness tu ila wanajifanya wao ndio wamiliki,wasanii waliowekeza bongo wachache wenye product zilizosimama mfano Sugu na Hotel,Prof Jay na Shule yake wengine ni wachuuzi tu,kuanzisha mgahawa wa kuuza chakula msingi laki mbili au kuanzisha butique la kuuza malonya lonya ya china au Thailand kwa msingi wa milioni 2 sio uwekezaji bali ni kuganga njaa tu....Msanii inatakiwa uwe na Project oneni kina Diddy,Jayz,Birdman,Young Jeezy wana miradi ya hatari.