Djsbulive asema alikiba ni partnership kwenye mofire

Acha niendele kunywa Maji na beer tu

Ova
 
Partner!?????? Mmmh anyway sijui makubaliano yao ila akili inaniambia king ni balozi though wanajua wao

Mo faya sio ya leo na djsbu ameifikisha hapo kwa mbide
kwahyo kuifikisha hapo kwa mbinde ndo asikaribishe mtu mwingine wa kutia nguvu ili biashara isonge zaidi?
 
Partner!?????? Mmmh anyway sijui makubaliano yao ila akili inaniambia king ni balozi though wanajua wao

Mo faya sio ya leo na djsbu ameifikisha hapo kwa mbide
unakataa nini mzee? Kama kaifikisha hapo kwa mbinde maana yake hawezi kuuza shares au unamaanisha Kiba hawezi nunua hizo shares?
 
Wasanii wengi waongo kwenye bizness,wapo kwa ajili ya kufanya promo tu,wanalipwa kwa kutangaza bizness tu ila wanajifanya wao ndio wamiliki,wasanii waliowekeza bongo wachache wenye product zilizosimama mfano Sugu na Hotel,Prof Jay na Shule yake wengine ni wachuuzi tu,kuanzisha mgahawa wa kuuza chakula msingi laki mbili au kuanzisha butique la kuuza malonya lonya ya china au Thailand kwa msingi wa milioni 2 sio uwekezaji bali ni kuganga njaa tu....Msanii inatakiwa uwe na Project oneni kina Diddy,Jayz,Birdman,Young Jeezy wana miradi ya hatari.
 
Yaani niache mpunga mrefu kisa unatoka marekani eti nim support mweusi mwenzangu kwa peanuts???ANAUMWA HUYU!
btw:hongera kwa Ally kwa Deal hii...iwe ubalozi au partnership bado ni hatua ya mafanikio
 
Wasanii wengi waongo kwenye bizness,wapo kwa ajili ya kufanya promo tu,wanalipwa kwa kutangaza bizness tu ila wanajifanya wao ndio wamiliki,wasanii waliowekeza bongo wachache wenye product zilizosimama mfano Sugu na Hotel,Prof Jay na Shule yake wengine ni wachuuzi tu,kuanzisha mgahawa wa kuuza chakula msingi laki mbili au kuanzisha butique la kuuza malonya lonya ya china au Thailand kwa msingi wa milioni 2 sio uwekezaji bali ni kuganga njaa tu....Msanii inatakiwa uwe na Project oneni kina Diddy,Jayz,Birdman,Young Jeezy wana miradi ya hatari.
Mkuu umeongea ukweli mtupu huyo anafanyia promo hakuna kingine,pili hiyo bidhaa kutawala soko ni ngumu redbull ndio kashika soko..imekuja shark imeshindwa tamba,imekuja bullet imeshindwa tamba,imekuja dragon toka SA ambako inanguvu imeshindwa tamba.
Imekuja kungfu na promo ya joti chali sembuse hii ambao mashabiki wake choka mbaya wanakunywa azam energy 600sh.
 
Haters kutoka madale naona povu linawatoka[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom